Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

Siri moja wapo ya mafanikio yako
Ni kutotangaza mambo yako ya heri.

Hizo taarifa kuhusu mahali unapoenda ungezipata hata mitandaoni
 
Siri moja wapo ya mafanikio yako
Ni kutotangaza mambo yako ya heri.

Hizo taarifa kuhusu mahali unapoenda ungezipata hata mitandaoni
Siamini katika Hilo, Mimi naamini kwa Mungu tu, na nyie ndo Huwa wachoyobwa michongo mkifika majuu. Huwa natangaza siku zote na Huwa nafanikiwa baadhi ya mambo.
Nimetafuta sijapata ndo maana nikauliza, kama nimekukera si lazima ku commentπŸ˜‚
 
Hujanikera na nina uhuru wa ku comment kwa sababu ni haki yangu ku comment
 
Nenda katafute toto zuri ya yenye asili ya kireno uje nayo huku bongo, kule kuna warembo sana
 
Ah huko mwanawane ukisafirisha kilo 2 za madawa ulishatoboa kimaisha
 
Kauze ngada mkuu kwa mgongo wa kanisa miaka 2 tu inakutosha ushatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…