Isahau na mkongo mkuu piga pumbu vizuri io itakuwa connection toshaaNimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.
Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?
Wadau karibuni...
Sijui mana sijasoma madaKwanini
Siamini katika Hilo, Mimi naamini kwa Mungu tu, na nyie ndo Huwa wachoyobwa michongo mkifika majuu. Huwa natangaza siku zote na Huwa nafanikiwa baadhi ya mambo.
Nimetafuta sijapata ndo maana nikauliza, kama nimekukera si lazima ku comment😂
Unaona Kuna hasira hapo😂mkuu punguza hasira.
Uko sahihi, inawezekana watu wa kanisani kwako wakasoma,ukaonekana mpuuzi tu ikawa cancelledSiri moja wapo ya mafanikio yako
Ni kutotangaza mambo yako ya heri.
Hizo taarifa kuhusu mahali unapoenda ungezipata hata mitandaoni
😂😂 Mbona Mna makasiriko sana, au nikupe namba zao uwatafute uwaambie nimepost JF? Unafiki ni biashara ya madawa hii au bangi? Ulisikia wapi injili Ina fichwa fichwa?🤣🤣🤣 sema nikupe namba zao uwashtue basi wa cancelUko sahihi, inawezekana watu wa kanisani kwako wakasoma,ukaonekana mpuuzi tu ikawa cancelled
Wewe unaonekana ni mshamba halafu ni limbukeni, unashauriwa vitu vya kweli unaleta ujuaji.😂😂 Mbona Mna makasiriko sana, au nikupe namba zao uwatafute uwaambie nimepost JF? Unafiki ni biashara ya madawa hii au bangi? Ulisikia wapi injili Ina fichwa fichwa?🤣🤣🤣 sema nikupe namba zao uwashtue basi wa cancel
Wewe ndo mshamba na mlimbukeni, kwahyo unachotaka kusema nitarogwa au? Kila Mtu ana Imani yake, si lazima Mimi kukubaliana na wewe na Wala sio lazima wewe kukubaliana na Mimi, wewe Baki na Imani Yako ya kukaa kimya ukiogopa kusema kwamba watakuchawia ila Mimi Huwa nasema na mambo yangu yanaenda.Wewe unaonekana ni mshamba halafu ni limbukeni, unashauriwa vitu vya kweli unaleta ujuaji.
Waliokupa hiyo offer hawakukupa maelekezo ya kutosha?Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.
Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?
Wadau karibuni...
Ka muulize nchimbi anadata za hukoNimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.
Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?
Wadau karibuni...
Nenda katengeneze mazingira ya kwenda maeneo yenye fursa, ila Brazil kuna half life kama bongo tuNimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.
Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?
Wadau karibuni...
Utafanikiwa ila usiweke matarajio makubwaSiamini katika Hilo, Mimi naamini kwa Mungu tu, na nyie ndo Huwa wachoyobwa michongo mkifika majuu. Huwa natangaza siku zote na Huwa nafanikiwa baadhi ya mambo.
Nimetafuta sijapata ndo maana nikauliza, kama nimekukera si lazima ku comment😂
😱Watoto wa kilatino nywele mpaka mgongoni, senhoritas kama wote
Dark chocolate thick curvy na kajungu fulani hivi kakichokozi
Ndugu habari za leo, kufanikiwa au kuto kufanikiw kwa mtu inategemeana na yeye mwenyewe anavyojipanga na kujiamulia lipi lililo bora na kujikatalia yapi yaliyo mabaya ya kurudisha nyuma maendeleo yake.Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.
Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?
Wadau karibuni...
Wewe ndo mshamba na mlimbukeni, kwahyo unachotaka kusema nitarogwa au? Kila Mtu ana Imani yake, si lazima Mimi kukubaliana na wewe na Wala sio lazima wewe kukubaliana na Mimi, wewe Baki na Imani Yako ya kukaa kimya ukiogopa kusema kwamba watakuchawia ila Mimi Huwa nasema na mambo yangu yanaenda.