Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Yoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza
Huwezi kupata vyote. Kama ulikuwa unakwenda club ulitegemea nini? Jipange uanze kozi upya maana hizo supp sidhani kama inaweza kuwa umekwepa disco.

Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana

Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke

Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE

Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi

Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Kama upo SUA hapo umeliwa kichwa tayari,fanya mpango wa kuhama chuo,hamia chuo cha Kampala International University,wale wanakupokea kiulainiiiii.......

Technically ushadisco tafuta issue nyingine yakukuingizia kipato walau uanze kulipa mkopo uliotumia mpaka sasa.

Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia
Chuo gani mkuu

Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana

Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke

Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE

Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi

Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Kwanza nakupongeza mana inaonekana una high self esteem, chamsingi komaa hizo semister zilizobaki japo hujasema upo mwaka wa ngapi na semister gani

Ww angalia kama kuna pesa za boom zimebaki kidogo ukajiajiri mapema ili ulio waacha chuo wakimaliza na ww uwe umeshapiga hatua mbele
Live hapo hana namna . hana budi kutafuta Alternative nyingine maana maisha sio kusoma tu bali kuna ishu nyingi za kufanya

Pole Sana mkuu, hapo fanya mpango mwak huu uombe mkopo napia ufanye application tcu, usiendelee semester nyngne hutoweza kufaulu tafuta ishu ya kufany miezi hii, UPO CHUO GAN HIKO WASHATOA MATOKEO SAS HIVI???

Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana

Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke

Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE

Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi

Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Kwa mambo kama haya Nimebahatika kupata mke
Utakuwa umesha disco , ndo faida hiyo ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii badala ya kufanya kilichokupeleka chuoni

hilo mkuu siwezi kukwambia kwa sababu za kiusalama zaidi
We jamaa utakua unasoma SUA au ARDHI maana hv vyuo kupata sup 5,8 ni kawaida sana..... Acha kuchat Now hapa jf wafate washkaj walio vzur ktk hayo masomo uliyofel then waombe wakusaidie na utapangua kama tu upo siriaz... Huez kudisco kama ndio mwaka wa kwanza na upo semister ya kwanza

mh! We ni poyoyo. Rudi tu kitaa kuzurura. Sup 5 kat ya 8 ni sawa na kutokuwepo chuon semester nzima. Ulikuwa unauza sura? Pole sana njoo tu tuuze maneno.

We jamaa utakua unasoma SUA au ARDHI maana hv vyuo kupata sup 5,8 ni kawaida sana..... Acha kuchat Now hapa jf wafate washkaj walio vzur ktk hayo masomo uliyofel then waombe wakusaidie na utapangua kama tu upo siriaz... Huez kudisco kama ndio mwaka wa kwanza na upo semister ya kwanza
MUHAS nako vp?

Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana

Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke

Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE

Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi

Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Afadhali Tunahitaji marejesho ya mkopo wetu

Back
Top Bottom