Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kupata vyote. Kama ulikuwa unakwenda club ulitegemea nini? Jipange uanze kozi upya maana hizo supp sidhani kama inaweza kuwa umekwepa disco.Yoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza
Kama upo SUA hapo umeliwa kichwa tayari,fanya mpango wa kuhama chuo,hamia chuo cha Kampala International University,wale wanakupokea kiulainiiiii.......Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Hatar sana, ukweli ushajulikana.Mheshimiwa Rais2020 inabdi upewe kitengo kwenye Ofisi ya Taifa ya Takwimu.
Chuo gani mkuuAiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia
Kwanza nakupongeza mana inaonekana una high self esteem, chamsingi komaa hizo semister zilizobaki japo hujasema upo mwaka wa ngapi na semister ganiWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Live hapo hana namna . hana budi kutafuta Alternative nyingine maana maisha sio kusoma tu bali kuna ishu nyingi za kufanyaWw angalia kama kuna pesa za boom zimebaki kidogo ukajiajiri mapema ili ulio waacha chuo wakimaliza na ww uwe umeshapiga hatua mbele
Kwa mambo kama haya Nimebahatika kupata mkeWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
We jamaa utakua unasoma SUA au ARDHI maana hv vyuo kupata sup 5,8 ni kawaida sana..... Acha kuchat Now hapa jf wafate washkaj walio vzur ktk hayo masomo uliyofel then waombe wakusaidie na utapangua kama tu upo siriaz... Huez kudisco kama ndio mwaka wa kwanza na upo semister ya kwanzahilo mkuu siwezi kukwambia kwa sababu za kiusalama zaidi
Ndiyo maana yakemmmmh ,mkuu are u serious?
MUHAS nako vp?We jamaa utakua unasoma SUA au ARDHI maana hv vyuo kupata sup 5,8 ni kawaida sana..... Acha kuchat Now hapa jf wafate washkaj walio vzur ktk hayo masomo uliyofel then waombe wakusaidie na utapangua kama tu upo siriaz... Huez kudisco kama ndio mwaka wa kwanza na upo semister ya kwanza
Hahaha udsm hyo n more than disco aiseee hawana mchezo hapaKama UDSM,we in disko tu hakuna namna.
Hapa ndo nashangaaa huyu anacheza na akili za watuChuo gan hicho ambacho UE tayari na matokeo?
Afadhali Tunahitaji marejesho ya mkopo wetuWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma