Kila kitu kinawezekana na ukafaulu vizuri bila wasiwasi.
Nina rafiki yangu alipata sapu 5 kama wewe na akazitoboa zote kwa wakati mmoja.
Chakufanya nikuanza mapema maandalizi usingoje zima moto. Wenzako wakiondoka kwenda likizo wewe baki kusoma na kama kuna wenzako wako jirani na unajua wataweza kukusaidia katika baadhi ya hizo sapu omba wawe wanakufundisha pale utapoitaj msaada wao.
Kama utaitaji uzoefu zaidi utanitumia namba yako pm nikuunganishe na huyo rafiki yangu aliyekuwa amepata sapu 5 na akazifaulu zote akupe 'his experience'