Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Kila kitu kinawezekana na ukafaulu vizuri bila wasiwasi.
Nina rafiki yangu alipata sapu 5 kama wewe na akazitoboa zote kwa wakati mmoja.
Chakufanya nikuanza mapema maandalizi usingoje zima moto. Wenzako wakiondoka kwenda likizo wewe baki kusoma na kama kuna wenzako wako jirani na unajua wataweza kukusaidia katika baadhi ya hizo sapu omba wawe wanakufundisha pale utapoitaj msaada wao.
Kama utaitaji uzoefu zaidi utanitumia namba yako pm nikuunganishe na huyo rafiki yangu aliyekuwa amepata sapu 5 na akazifaulu zote akupe 'his experience'
Ok shukrani mkuu
 
sasa na wewe hizo SUP 5 ilikuwajekuwaje hadi ukazijaza hivyo
 
Aisee,pole sana hapo umecheza break dance mkuu,,naona kabisa harufu na taa za disco. Upo mwaka wa ngapi,?
 
Kumbe hadi leo unapeleka matokeo kwa wazaz level ya chuo na unatafuta visingizio kwel bado hawaamin kama unaeza jiongoza
 
Yap ni kweli

Bado mtihani mmoja tu wa project ambao tunaufanya kesho kutwa

Ila kwenye final papers nyingi nimefanya vibaya ,maswali mengi sikujaza hivyo baasi hakuna muujiza wa kufaulu

Na chuoni kwetu mpaka ufaulu unatakiwa uwe una 40 %
Sasa na wewe kwanini maswali mengine hukujaza
 
Huyu MTU anavyoongea Sijui hata kama hata jengo la chuo analijua lilivyo.......kama sikosei in kilaza aliefeli form four sasa anajidanganya kwa mfano angekuwa chuo..........we matokeo hata UE bado.....au anasoma nchi gani?
 
Hainiingii akilini mtihani bado unaendelea kufanya wakati huo huo mitihani uliyofanya tayar majibu yametoka. Huu ni ugundu.
 
Huyu MTU anavyoongea Sijui hata kama hata jengo la chuo analijua lilivyo.......kama sikosei in kilaza aliefeli form four sasa anajidanganya kwa mfano angekuwa chuo..........we matokeo hata UE bado.....au anasoma nchi gani?
Rejea post namba100
 
sasa na wewe hizo SUP 5 ilikuwajekuwaje hadi ukazijaza hivyo
Screenshot_2017-02-19-12-14-27.png
 
Eti
Physics-b
Math-A

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] A ya maths wewe[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Hata hiyo d Sijui kama unaiweza
 
Back
Top Bottom