Nimepata Tsh. Milioni 1.3, naomba ushauri wa aina ya biashara ninayoweza kufanya

Kazini kwetu marufuku biashara, hawezi kubali uwanja wake nafanyia plan B, ni taasisi binafsi. So haiwezekani, licha ya hivyo figisu zitaanza mkuu
Kwa muktadha huo Sawa. Nunua pikipiki endesha mwenyewe baada ya mda wa kazi masaa sita yanatosha sana kukupa pato la ziada plus weekends
 
Kwa muktadha huo Sawa. Nunua pikipiki endesha mwenyewe baada ya mda wa kazi masaa sita yanatosha sana kukupa pato la ziada plus weekends
Pikipiki gani zinahiti sana hapa mjini? Boxa au tvs?
 
Hizo idea zote ni nzr ila km huna ujuzi nazo na wala huwezi kusimamia eti mpk umpe mtu utafeli usithubutu
 
Na vip kitatokea nini Endapo nitafanya bila kuwafata TRA maana jamaa adi Leo anakwepa
Siku waje kufanya operations zao wakukute hujawahi kukadiriwa Kodi na hujalipa, adhabu yake huwa ni kufilisi

Lakini Kuna faida nyingi za kulipa Kodi ikiwemo kukopesheka Benki, ukitaka kuongeza Mtaji kidogo unaenda NMB ama Benki nyingine wanakupa Mkopo ili kupanua biashara yako
 
Saloon na kuingiza nyimbo na movie wanaweza kukupa kamkopo?
 
Saloon na kuingiza nyimbo na movie wanaweza kukupa kamkopo?
Ndiyo, kutegemeana na Mauzo yako Kwa Mwaka.

Unachotakiwa ni kufungua akaunti ya Benki, na kuhakikisha hela zote za Mauzo zinapitia Benki

Baada ya Mwaka mmoja utaprinti Statement ya kuonesha Debits and Credits zako.

Kama utakuwa na Mauzo ya wastani wa shilingi 5M, basi unaweza kukopeshwa milioni 3 hadi 3.5 hivi
 
zama zimebadilika uaminifu hakuna,siku hizi mfanyakazi ukimweka naye anakuja na mfuko wake wa unga au sukari anauzia hapohapo
 
Kwa wataalamu WA accounting and auditing nilifungua duka kuniibia ni ngumu sana na ata ukiiba ni kiduchu sana
Wewe ni expert sasa anakuibiaje hapo mzee unapiga hesabu mpaka punje za mahindi na mchele zipo kiasi gani
 
Ko natakiwa nikipata ela niweke benk?
 
Hawezi kuniibia mzee,kila kinachofanyika dukani lazima kiwe na source documents,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…