Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Njoo tumuwekee mtoto masikio
 
Ahaa, unachotakiwa kufanya, jitahidi upate busta mrembo, hautasumbuliwa na mimba na utakuwa mwenye furaha, unahitaji kujua aina ya busta?
 
Ahaa, unachotakiwa kufanya, jitahidi upate busta mrembo, hautasumbuliwa na mimba na utakuwa mwenye furaha, unahitaji kujua aina ya busta?
Ndiyo? Busta ni nini na naipata wap?
 
Umenichekesha jaman! Mwisho wa mwezi huu? Acha utan bas mie niko serious ujue
Wewe kama mwislam ndoa ya mkeka inakuhusu. Kama ni Mkristo nendeni wewe (ukiambatana na mwanao tumboni); mumeo na Mashahidi wawili tu siku ambayo siyo ya jumapili mfunge ndoa ya kimya.
 
Si ulichomwa sindano nayo ikazaa mimba?
Sasa wahitaji sindano kama hiyo lakini mchomaji tofauti.
Mimi fundi sana wa hizo busta[emoji16]
Khaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nataman niwaambie niliokaa nao sema ni wafanyakaz wangu sasa wataona boss hana heshima
 
Wewe kama mwislam ndoa ya mkeka inakuhusu. Kama ni Mkristo nendeni wewe (ukiambatana na mwanao tumboni); mumeo na Mashahidi wawili tu siku ambayo siyo ya jumapili mfunge ndoa ya kimya.
Ngoja nimjaribu nione au nipe mbinu za kumshawish gafla hiyo
 
Khaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nataman niwaambie niliokaa nao sema ni wafanyakaz wangu sasa wataona boss hana heshima
Unajua nini?
Lengo langu limetimia, nilitaka utabasamu.
Mimi nikiona mjamzito nitafanya kila namna afurahi....ninapenda kuona mwanamke mwenye mimba sijui kwanini[emoji38][emoji38]
 
Sasa tukushauri vipi huku ukiwa na akili zisizo zako utatuelewaje sasa.
Hapo Sasa!!
Na katoa angalizo ashauriwe kwa upole.... Najikuta namuonea huruma huyo mtoto ataezaliwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…