Hebu andika vizuri kwa mpangilio..sijakuelewaNashangaa mnaonitukana bila sababu utadhani kosa langu mimi sikutaka kufanya mapenzi na hao wanaume .nilimueleza mpenzi naeishi nae yaliyotokea ili aondoke kwangu tuachane .Yeye kasema yupo radhi kunisamehe na kunilea na mtoto tena nisiwaeleze hao jamaa yaliyotokea.ila simuamini mimi nataka tuachane tu nimeshaharibu.
Au Sio retired sister anatupima akili zetu??yaan huwa aannichekesh na majibu yake yalivyo serious dah
Chumvii hii nikaliKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
mambo ya proba tehChumvii hii nikali
Nilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
mzigua na Inna mambo yen hayo.Nilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Evelyn, Evelyn ulianza mapenzi una umri gani, maana nimecheka mpaka basiKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
OhooooooooEvelyn, Evelyn ulianza mapenzi una umri gani, maana nimecheka mpaka basi