Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nashangaa mnaonitukana bila sababu utadhani kosa langu mimi sikutaka kufanya mapenzi na hao wanaume .nilimueleza mpenzi naeishi nae yaliyotokea ili aondoke kwangu tuachane .Yeye kasema yupo radhi kunisamehe na kunilea na mtoto tena nisiwaeleze hao jamaa yaliyotokea.ila simuamini mimi nataka tuachane tu nimeshaharibu.
Hebu andika vizuri kwa mpangilio..sijakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una umri na elimu gani, labda tuanzie hapo!
Ndipo nianze kukupa ushauri au ni PM
 
Nilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.

Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.

Toa hiyo mimba bado hujachelewa.Halafu uwe makini kwenye mahusiano.
 
mzigua na Inna mambo yen hayo.
 
Huu Uzi ni wa 2016 nadhani kwa sasa una mtoto hongera sana
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Evelyn, Evelyn ulianza mapenzi una umri gani, maana nimecheka mpaka basi
 
hehehe inaelekea umekaa kubarazwa barazwa tu weye...
nshakutamania hata sijakuona..
 
Back
Top Bottom