Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Mkuu wazo langu lilikua hilo hilosio wote watakaoikubali,
labda umwambie awaambie wote,
sa atakayeikubali ndo asukumiziwe pira
Laana ya umalaya itakufuata mpaka kaburini. Hapo lazma uzae kapimbi. Kudadadeki.
Ah, mwanagu tumewaza sawaMkuu wazo langu lilikua hilo hilo
Nilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
ha hahaha hahaaaaaKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
tutake radhiAiseee,hiv nyie wadada....kwa nn mnaakili fupi hiv?
pesaWanawake mnapenda sex au pesa?
anunue selfie stick tuMmmmhhh hata mimi nilipitia "Usichana" lakini hii yako ni "Chiboko" wanaume wawili per night?? Aiseee..... Hongera sana kwa kupata hiyo mimba...... maana siku hizi pia kupata mimba nayo ni "deal"........ Ukianza kuumwa kiuno na mgongo usitafute mchawi.... uchawi wako upo kwenye kuchanganya shahawa bila mpangilio ni hayo tuuu
waarusha hampendiUmecheat umepata mimba mara unawapenda wote, mahusiano yamekuwaje siku hizi?? Huyo mpenz wako wa arusha amekukosea nn hadi astahili uliyomfanyia. Ndo mana sishangai kiukwel watu wakiua kwa ajil ya mapenzi kiukweli sishangai