Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Haahah!,hapo lazima mwanaume mmoja wapo apasuke kwenye kuhudumia...ila nyie wanawake mungu anawaona...
 
Kwa kweli wanaume kazi tunayo, tunalea watoto wa wanaume wenzetu,
Yaani nimepanga kuanzia mwaka kesho naanza opereshen tia mimba yaan anaejichanganya nnae halafu nawageuzia kibao wote kua sio mimba yangu, nakusanya ela tu za kutosha kuwalainisha,
Na mpaka sasa nshaseti watatu nasubiri tuu mwanangu mchanga akuekue,
Nna hasira sana na ile takwimu ya mkemia mkuu wa serikali
 
Mbambike huyo aliyekuwa mume wa mtu maana mnapendana sana. Ukimpa habari hizi atakenua gego mpaka gego na kutangaza ndoa haraka sana, ila machale yakimcheza na akitaka kufanya DNA inaweza kula kwako kama majibu husika yakionyesha YOU'RE NOT THE FATHER OF THIS BEAUTIFIL CHILD.

Nilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.

Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
 
Umecheat umepata mimba mara unawapenda wote, mahusiano yamekuwaje siku hizi?? Huyo mpenz wako wa arusha amekukosea nn hadi astahili uliyomfanyia. Ndo mana sishangai kiukwel watu wakiua kwa ajil ya mapenzi kiukweli sishangai
 
Mmmmhhh hata mimi nilipitia "Usichana" lakini hii yako ni "Chiboko" wanaume wawili per night?? Aiseee..... Hongera sana kwa kupata hiyo mimba...... maana siku hizi pia kupata mimba nayo ni "deal"........ Ukianza kuumwa kiuno na mgongo usitafute mchawi.... uchawi wako upo kwenye kuchanganya shahawa bila mpangilio ni hayo tuuu
anunue selfie stick tu
 
Umecheat umepata mimba mara unawapenda wote, mahusiano yamekuwaje siku hizi?? Huyo mpenz wako wa arusha amekukosea nn hadi astahili uliyomfanyia. Ndo mana sishangai kiukwel watu wakiua kwa ajil ya mapenzi kiukweli sishangai
waarusha hampendi
 
Back
Top Bottom