Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nauona mwisho wako ukiwa mbaya...jiangalie sana wanaume wengine si wakuwajaribu..utakuja kutamka maneno haya"sijui mi na gundu gani jamani" ujue tayari..
 
Nashangaa mnaonitukana bila sababu utadhani kosa langu mimi sikutaka kufanya mapenzi na hao wanaume .nilimueleza mpenzi naeishi nae yaliyotokea ili aondoke kwangu tuachane .Yeye kasema yupo radhi kunisamehe na kunilea na mtoto tena nisiwaeleze hao jamaa yaliyotokea.ila simuamini mimi nataka tuachane tu nimeshaharibu.
hukutaka ulibakwa?
 
Kimbiaaa atakuuua ..Ndo siku nyingine ujifunzeee.Kwani walikushikia Panga.Nyie wanawake wa Hivi ndo mnaotufanya wengine Tuonekane Walewale.Mengine unayameza..kwani ulipotembea na wanaume wotee uliingia humu kuomba ushaurii.Au kuja kutuharibia wengine tu._UKOMEEE
 
Mume wa mtu ndo mwenye kijusi..ila sasa jiandae kisaikolojia mana umeuwasha moto..muda mwingine muwe mnaangalia makabila ya kuwajaribu na hizo mimba kama kwetu wewe unaweza kuja zaa muhogo kwa mambo ya kujitakia
kuanza kumwambia jamaa aliyepigia nje mimba ni yake inahitaji uwe kauzu kama wale jamaa wa ISIS
 
hii bahati mbaya inasingiziwa.

Yani tena yeye ndo aliwapigia simu eti!!!

Basi nisiseme sana!
Hahahaaaa!! Ni bahati mbaya jamani, hakutegemea kama alipowapigia wangekuja, si wakaja bwana, tena wakataka kabisa! Na kumnyima mwenzio sio vizuri, basi ndio ikawa bahati mbaya.
 
Hahahaaaa!! Ni bahati mbaya jamani, hakutegemea kama alipowapigia wangekuja, si wakaja bwana, tena wakataka kabisa! Na kumnyima mwenzio sio vizuri, basi ndio ikawa bahati mbaya.


Mh..

unanifanya niseme! siongei mimi.
 
Back
Top Bottom