Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
ni mtejesho hamuoni wenzenu wanatoririka ila nyie wa MB 5 mnakaxana kukosoaUmeona eehh maana mm sijaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mtejesho hamuoni wenzenu wanatoririka ila nyie wa MB 5 mnakaxana kukosoaUmeona eehh maana mm sijaelewa
tatizo mnaingia mara 1 kwa mweziTITLE NA BODY HAVINA USHIRIKIANO.........
hukutaka ulibakwa?Nashangaa mnaonitukana bila sababu utadhani kosa langu mimi sikutaka kufanya mapenzi na hao wanaume .nilimueleza mpenzi naeishi nae yaliyotokea ili aondoke kwangu tuachane .Yeye kasema yupo radhi kunisamehe na kunilea na mtoto tena nisiwaeleze hao jamaa yaliyotokea.ila simuamini mimi nataka tuachane tu nimeshaharibu.
Asante kwa Maelezo. PS situmii mb 5.ni mtejesho hamuoni wenzenu wanatoririka ila nyie wa MB 5 mnakaxana kukosoa
Wapo ila sema wanashinda jukwaa la siasatatizo mnaingia mara 1 kwa mwezi
one people different colours
kupatwa kwa baba kijacho on fleek
Hakupenda, ni bahati mbaya tu.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Yani hii nso ameitolea mrejesho kuwa hakupenda eti!????
nimecheka sanaaaa, hiyo hatareeeKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
kuanza kumwambia jamaa aliyepigia nje mimba ni yake inahitaji uwe kauzu kama wale jamaa wa ISISMume wa mtu ndo mwenye kijusi..ila sasa jiandae kisaikolojia mana umeuwasha moto..muda mwingine muwe mnaangalia makabila ya kuwajaribu na hizo mimba kama kwetu wewe unaweza kuja zaa muhogo kwa mambo ya kujitakia
Hakupenda, ni bahati mbaya tu.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahaaaa!! Ni bahati mbaya jamani, hakutegemea kama alipowapigia wangekuja, si wakaja bwana, tena wakataka kabisa! Na kumnyima mwenzio sio vizuri, basi ndio ikawa bahati mbaya.hii bahati mbaya inasingiziwa.
Yani tena yeye ndo aliwapigia simu eti!!!
Basi nisiseme sana!
Hahahaaaa!! Ni bahati mbaya jamani, hakutegemea kama alipowapigia wangekuja, si wakaja bwana, tena wakataka kabisa! Na kumnyima mwenzio sio vizuri, basi ndio ikawa bahati mbaya.
Kutokuongea sio vizuri ujue!! Hebu ongea huko.Mh..
unanifanya niseme! siongei mimi.