Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Itakusaidia nini? Nenda Marekani. Kuna wamarekani wengi wamerudishwa toka Kanada hata wahindi tena waliokwenda kule kwa kisingizio cha kusoma bila makaratasi yaliyo sahihi. Unaweza kujidanganya. Mfumo wao ni foolproof watakunasa tu.
Watu hawaielewi Canada. Picha linaanza pale una hela mfukoni but you can't buy anything. Hela yako inakua kama ile cement ilikua ikitumika kujenga barabara ya mwendo kasi, iba utakavyo lakini hauwezi kufanyia kitu au kokoto za reli ya tazara utaiba ujengee lakini hazishiki cement
 
Umefanya vizuri kusema kabla; hautaenda tena Canada, utaishia Airport. Bora tu hata usifike kabisa hata Airport ku-save muda wako
 
Hii njia inaitwa asylum sujapanga kutumia njia ya kipuuzi hii, mimi nataka kuishi kibabe
Asylum si ya kuomba hifadhi? Mimi namaanisha upitie njia ya kusoma, Yaani ukishapata mwenyeji wewe unatafuta kikoz kitakacho kusaidia kupata kazi halali
 

I will play the devil's advocate here:

Ukikubali wewe ni shoga ili upate documents za kuishi kihalali nini kibaya kinakutokea kama ndani ya nafsi yako unajua wewe sio shoga? Documents zinaandikwa wewe ni shoga?

Ukikubali wewe ni shoga na kesho ukasema umekuwa straight inakatazwa? Sikuhizi kuna gender inaitwa non-binary umeisikia? Hao non-binary wanakatazwa na nani kuwa non-binary?

Kuna story nyingi sana za mitaani mnazitilia maanani na kujazana woga tu.
 
Hujui

Wewe huijui Kanada. Watakurudisha vinginevyo useme wewe ni msenge au msagaji. System yao hsipenyekils

Kabla ya kuondoka ,tengeneza mazingira na documents za kuonyesha wewe ni shoga😀😀wapange ata jamaa zako wajifanye wamekufumania unataka kuliwa mzigo Kisha kareport police wamekuvamia kisa ushoga ,zitunze documents zote Kisha,tafuta organization yoyote inayosupport ushoga jiandikishe na uwe na documents za uanachama,Kisha sepa Canada ukifika tu tafuta LGBTQ organization jiandikishe na wape stori yako ya kukimbia Tanzania kwa sababu ya kutishiwa maisha kwa sababu wewe shoga,Kisha tafuta lawyer akupe msaada WA kuomba hifadhi Canada ya kuishi kwa sababu hauwezi kurudi Tanzania,kwa sababu ya kuhatarisha maisha yako,hii mbinu ukiitumia unapata permit ya kuishi na kufanya kazi,hii mbinu watu WA Uganda wengi wataitumia
 
Kila Mtu na bahati yake nakuombea Kwakuwa lengo ufanikiwe utakutana na mawili matatu magumu ila ndio maisha unajua mambo mazuri msoto upo kila la kheri Mungu akutangulie.
We wenzetu hawana hayo mambo ya kubahatisha! Maoni ya wengi huku Yana mantiki mtoa mada zingatia , wenzetu wako very systematic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…