FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hivi milioni 400 ukigawanya 16 si unapata 25mil. Kuna nn hapo sasa2 billions.40% depreciation. Remainders 1.6blns divideed to the four=400 mlns.400mlns/4=100mlns
Not as bad as having nothing with white sands.
Wanyaki hawana mambo hizo za kichagaVita ya Mali inanukia.....
Kama uwezo wa kuwatunza upo unazaa tu hata 50. Shida iko wapi?Watoto 16 na amezaliwa mwaka 1978
Waafrika tunapenda kuzaana sana
Ukiwa ndani ya mipaka ya Tanzania utaitwa milionea.Hivi milioni 400 ukigawanya 16 si unapata 25mil. Kuna nn hapo sasa
Vita ya kugombania mali ni mbaya sana.Mwanaume akiwa na pesa mwanamke hata ukiolewa mke wa 7 haina shida.!!
Hapo sasa kitimtim km hajaandika mirathi kazi ipo!!
Wataondoka watu wengi kumfata marehemu alikoenda.!
🤨Nimetag kama tajiri wa kike au kama unamjua tajiri yeyote wa kike anayepiga mkojo kisa utajiri wake..!! Kilicho sahihi kijibu hichohicho nkamu ghwanghu..!!
Hii Kali😁😁😁Simple tu
Alizaliwa.....1
Akafanya biashara na kuwa tajir......2
Akaoa na kuzalisha......3
Akafa kwa ajari....4
Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
Elon Musk anao 12 mpaka sasa,Watoto 16 na amezaliwa mwaka 1978
Waafrika tunapenda kuzaana sana
Yeah, hapo ni watoto ndio watakaoteseka.!!Kuna shughuli ndefu sana hapo ni kuwanea huruma hao watoto.
Sifa anazo si mzazi wake, sema kuendeleza ndio tatizoBinadamu anayepigania mali ambazo hakuzalisha hana sifa ya kuwa na hizo mali.
Si tajiri, halafu mnyaki banyambala lazima moto zilie 😹😹😹Na amewatotolesha wengi sana😁
Mali za familia ni tatizo mnaweza kuuana.!!Ungetafuta kidume kipagane kiume kwa niaba yako, wewe unakipa points tu.
Mimi ni muhanga naelewa jirani, tena hizi kabila za kaskazini ni hatari kwenye mali unaweza kuiaga dunia km masihara.!!Vita ya kugombania mali ni mbaya sana.
Tasnia ipi ndugu Bufa ?Ni pigo sana kwenye tasnia yetu. Apumzike kwa amani mwamba
Itakuwa ni mechi kubwa kuliko Simba na Yanga trust me that day is comingWake 3 na watoto 16...Iyo Ligi itakayopigwa ya kutaka mali sio ya Nchi hii
Ushachelewa ww umekuwa lizee......,Nimesoma hii mada nikiwa sebleni naangalia tu vyeti twangu ni twingi Ila lijamaa halina mavyeti Ila lilikuwa gumzo Tanganyika ,wacha nianze kutafuta hela serious kabisa
Alafu eti nianze kusema mchawi wangu ni nani ?Ni hawa hawa marafiki zangu ninaoshinda nao jamiiforums akina ras jeff kapita yaani hata miaka hamsini sijafika alafu ananikatisha tamaa namna hii ? Tena mbele ya wanajukwaa maelfu kwa maelfu ?Ushachelewa ww......,
labda uvute bangi sasa
Huwa kuna vita baridi ya kuushinda uzinzi mkuu hasa ukiwa na visible chochote kitu pesa na mali kama huna hekima ya kiMunguutampata kila mwanamke unaemtani kiwepesi ,wa kubeba mimba makusudi pia wapo . .ni mkrito lakini cheki hao wanawake msururu...unadhani hawakujua anamke wa ndoa wa mwanzo kabisa ..nzi hutua palipo na kidonda,Watoto 16 na amezaliwa mwaka 1978
Waafrika tunapenda kuzaana sana