Humanity comes first
Member
- Mar 22, 2022
- 15
- 13
Duuh, kumbee bongo walioko ughaibuni ni wengi eeh!! [emoji848]Finland sehemu gani? Msingi kiuno Mzee, huku divorce ni kitu cha miezi sita tu uko free mtaani. Kama una ndoto ya kuja Ulaya nakushauri umchukue tu ila ufunge ndoa bomani. Chukua mashahidi wawili funga ndoa makaratasi yakamilike uje.
Ujiandae kwa baridi lakini, Finland tuna baridi kali sana. Ukifika ukihitaji ushauri usisite kunitafuta. Naishi mji wa Espoo Karibu na Helsinki.
Habarini!
Ningeomba mnipokee jamvini.
Ni mwanaume. Naishi Dar kijana wa miaka 28.
Nawasilisha.
Watu8 inawezekana.Ina maana tangu uko na 18 umeanza rondea bibi ya kizungu?
Hodi wakuu heshima yenu
Habarini! Ningeomba mnipokee jamvini. Ni mwanaume. Naishi Dar kijana wa miaka 28. Nawasilisha.www.jamiiforums.com
Finland ipo umbali gani kutoka Ukrain,Usiwe na haraka bro.Subiria Pisi zinakuja soon.
Watu8 inawezekana.
Jirani yetu kulikuwa na mtoto wa darasa la saba.
Kibibi cha kizungu kikampenda kufa anatoka Ulaya anakuja kumtembelea kwao, anamsomesha mpaka sasa na amempeleka kwao Ujerumani, mie nilikuwa naona ni uhusiano wa mtu na mjukuu wake, wengine wanasema wa kimapenzi(kuna raia mpaka zilikuwa zinatamani ile nafasi na kumuonea wivu dogo)
Kijana anasoma chuo Ujerumani sasa sijajua aina ya mahusiano wanayoendelea nayo sasa.