Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Umetoka kulalamika juu kuwa jamii forums imekosa watu great thinkers sababu ya ushauri wanaoutoa, lakini kwa comment yako hii basi niseme una shida kuliko unaowalalamikiaKwa mfano wa Mengi ulioutoa naona hauakisi sana hoja yangu. Kwa nini? Kwa sababu ongezeko la mia tano ambalo jumla ni elfu moja, siyo sawa na punguzo la 4000 kutoka 12000. Hiyo ni moja, mbili ni mazingira ya biashara, mtoa mada yupo mazingira ya karibu zaidi na mahasimu wake tofauti ilivyokuwa kwa Mengi na Bakhresa. Mwisho, nature ya biashara ya maji ni tofauti sana na nature ya biashara ya nyama tena ya nguruwe.
Anyway but thanks for your contribution.
Kutoka sh 1000 hadi sh 500, na kutoka sh 12000 hadi sh 8000, unasema lipi ni ongezeko kubwa? Hapa kwanza ncheke[emoji23][emoji23], hata hesabu za asilimia tu zimekupiga chenga? Wewe ni sawa na wale wanaoulizwa kilo 1 ya mawe na kilo 1 ya manyoya ipi nzito
Pili unasema mengi biashara yake haikua karibu na bakhressa? Hapa napo ncheke[emoji23][emoji23], kichwani kuna medula kweli huko? Hujui hawa Wana viwanda na wanawauzia wauzaji wa jumla? Kushusha huko huoni kama wale wauzaji wa jumla wengi watakimbilia kwa bakhressa kwa kuwa itakua rahisi kwao kupata wateja wengi sababu ya Bei ndogo?