Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

Kwa mfano wa Mengi ulioutoa naona hauakisi sana hoja yangu. Kwa nini? Kwa sababu ongezeko la mia tano ambalo jumla ni elfu moja, siyo sawa na punguzo la 4000 kutoka 12000. Hiyo ni moja, mbili ni mazingira ya biashara, mtoa mada yupo mazingira ya karibu zaidi na mahasimu wake tofauti ilivyokuwa kwa Mengi na Bakhresa. Mwisho, nature ya biashara ya maji ni tofauti sana na nature ya biashara ya nyama tena ya nguruwe.

Anyway but thanks for your contribution.
Umetoka kulalamika juu kuwa jamii forums imekosa watu great thinkers sababu ya ushauri wanaoutoa, lakini kwa comment yako hii basi niseme una shida kuliko unaowalalamikia

Kutoka sh 1000 hadi sh 500, na kutoka sh 12000 hadi sh 8000, unasema lipi ni ongezeko kubwa? Hapa kwanza ncheke[emoji23][emoji23], hata hesabu za asilimia tu zimekupiga chenga? Wewe ni sawa na wale wanaoulizwa kilo 1 ya mawe na kilo 1 ya manyoya ipi nzito

Pili unasema mengi biashara yake haikua karibu na bakhressa? Hapa napo ncheke[emoji23][emoji23], kichwani kuna medula kweli huko? Hujui hawa Wana viwanda na wanawauzia wauzaji wa jumla? Kushusha huko huoni kama wale wauzaji wa jumla wengi watakimbilia kwa bakhressa kwa kuwa itakua rahisi kwao kupata wateja wengi sababu ya Bei ndogo?
 
Hakikisha Kila mteja unayemuuzia anajua hizo taarifa kwa ufupi na wewe tangaza Hapo mtaani kote kuwa wanataka kukuua kwa kufanya hivyo hata ukijikwaa watalaumiwa wao..
Na mwishoni watageuka kuwa walinzi wako by the way wasikupangie bei kama vipi na wao wauze elf 7 kilo
Huu ndio ushauri
 
Hawajiongezi tu. Inapaswa ukichinja wanakuja kulangua kwako kwa bei ya 800/ then wao wanaenda uza 12000/ kwa makubaliano ya wewe kuchinja Mara Moja kwa wiki. Usipokubali wewe waache wakuue tu maana competition ya biashara sio kujibebisha kwa wateja.
 
Umetoka kulalamika juu kuwa jamii forums imekosa watu great thinkers sababu ya ushauri wanaoutoa, lakini kwa comment yako hii basi niseme una shida kuliko unaowalalamikia

Kutoka sh 1000 hadi sh 500, na kutoka sh 12000 hadi sh 8000, unasema lipi ni ongezeko kubwa? Hapa kwanza ncheke[emoji23][emoji23], hata hesabu za asilimia tu zimekupiga chenga? Wewe ni sawa na wale wanaoulizwa kilo 1 ya mawe na kilo 1 ya manyoya ipi nzito

Pili unasema mengi biashara yake haikua karibu na bakhressa? Hapa napo ncheke[emoji23][emoji23], kichwani kuna medula kweli huko? Hujui hawa Wana viwanda na wanawauzia wauzaji wa jumla? Kushusha huko huoni kama wale wauzaji wa jumla wengi watakimbilia kwa bakhressa kwa kuwa itakua rahisi kwao kupata wateja wengi sababu ya Bei ndogo?
Nimekuelewa sana, tena mno. Hujazungumzia kipengele kimoja. Biashara ya maji si sawa na biashara ya nyama ya nguruwe, hivyo ongezeko la mia tano kwenye biashara ya maji si sawa na punguzo la 4000 kwenye biashara ya nyama ya nguruwe.

Najua Mengi na Bakhresa wana viwanda, sasa nataka unipe umbali kati ya viwanda vyao. Cha Mengi kipo wapi na cha Bakhresa kipo wapi?!

Unalingalisha nyongeza ya 500 kwenye biashara ya maji na punguzo la 4000 kwenye biashara ya nyama ya nguruwe? Na guess wewe utakuwa mfupi tu kwa kimo.

Mwisho, hakuna mahali nimeongelea masuala la %. Kama papo onesha hapa.

Nasisitiza. Wewe utakuwa mfupi wa kimo tu. Why kwa sababu unatoa hoja zilizo irrelevant na hoja yangu mimi iliyo kuu.
 
"Kushusha huko huoni kama wale wauzaji wa jumla wengi watakimbilia kwa bakhressa kwa kuwa itakua rahisi kwao kupata wateja wengi sababu ya Bei ndogo?"
[emoji115][emoji115]
Nani alikudanganya hayo?[emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo sioni.[emoji23]
 
Nimekueleza kuhusu asilimia kwa sababu, huyu mmoja kashusha kwa asilimia 100, alafu huyo mwingine kashusha kwa asilimia 50.

Unasema tusilinganishe punguzo la 500 na punguz la 4000. Kwani bakhressa Hilo punguzo la 500 unafikiri lipo kwenye chupa 1 ya maji au carton 1?? Huyo aliyepunguza sh 4000 unahisi amepunguza sana kuliko va bahressa aliyepunguza sh 500 kwa mamilion ya chupa za maji anazozalisha na kuuza, huyo muuza kitimoto aliyepunguza 4000 kwa kilo wewe unahisi anakosa sh ngapi kulinganisha na bakhressa aliyepunguza sh 500 kwa chupa 1?
Chukua idadi ya kilo anazouza huyo jamaa kwa mwezi alafu zidisha kwa hiyo 4000 uone anapoteza sh ngapi, alafu hapo hapo chukua idadi ya maji anayouza bahressa kwa mwezi alafu zidisha kwa 500 uone na yeye anapoteza sh ngapi

Hapo pengine utaelewa
 
Labda sasa turudi kwenye uhalisia, maji ya uhai na Kilimanjaro yapi yanauzika sana? Au umesahau haya maji ilifikia kipindi watu wakawa wanaamini ni kwa ajili ya maboss tu na kwenye vikao?

Supply ya maji ya uhai ni kubwa kuliko Kilimanjaro, hili wala halihitaji mjadala sana. Nenda hapo kariakoo katafute maji ya Kilimanjaro, alafu hapohapo tafuta maji ya uhai.
 
Hio Elfu nane unayouza unapata faida au unafanya Hisani ya kugawa chakula Bure ?!!

Anyway isiwe tabu sababu utapunguza overheads za kukodi duka; kuchinja na kuajiri vijana zaidi wauzie hao wafanyabiashara wenzako kwa elfu nane wao wauze elfu 12 au wauzie hata 7,500/=...

Kama alivyosema Sun Wu "Opportunity Seized Multiplied", Badilisha hii changamoto kuwa fursa, hao jamaa wakija kukuua wakaribishe vizuri wape vinywaji na mkae mezani mu-crunch the numbers
 
Nimekueleza kuhusu asilimia kwa sababu, huyu mmoja kashusha kwa asilimia 100, alafu huyo mwingine kashusha kwa asilimia 50.

Unasema tusilinganishe punguzo la 500 na punguz la 4000. Kwani bakhressa Hilo punguzo la 500 unafikiri lipo kwenye chupa 1 ya maji au carton 1?? Huyo aliyepunguza sh 4000 unahisi amepunguza sana kuliko va bahressa aliyepunguza sh 500 kwa mamilion ya chupa za maji anazozalisha na kuuza, huyo muuza kitimoto aliyepunguza 4000 kwa kilo wewe unahisi anakosa sh ngapi kulinganisha na bakhressa aliyepunguza sh 500 kwa chupa 1?
Chukua idadi ya kilo anazouza huyo jamaa kwa mwezi alafu zidisha kwa hiyo 4000 uone anapoteza sh ngapi, alafu hapo hapo chukua idadi ya maji anayouza bahressa kwa mwezi alafu zidisha kwa 500 uone na yeye anapoteza sh ngapi

Hapo pengine utaelewa
Ni wewe ndiyo wa kuelewa, siyo mimi.

"Nimekueleza kuhusu asilimia kwa sababu, huyu mmoja kashusha kwa asilimia 100, alafu huyo mwingine kashusha kwa asilimia 50.

Unasema tusilinganishe punguzo la 500 na punguz la 4000. Kwani bakhressa Hilo punguzo la 500 unafikiri lipo kwenye chupa 1 ya maji au carton 1?? Huyo aliyepunguza sh 4000 unahisi amepunguza sana kuliko va bahressa aliyepunguza sh 500 kwa mamilion ya chupa za maji anazozalisha na kuuza, huyo muuza kitimoto aliyepunguza 4000 kwa kilo wewe unahisi anakosa sh ngapi kulinganisha na bakhressa aliyepunguza sh 500 kwa chupa 1? "
[emoji115][emoji115]
Umechanganya tena madesa. Una uhakika mmoja kashusha 100% na mwingine kashusha 50% kabisa? Really??

Hujaelewa kitu kimoja, hatuzungumzii mamilioni ya chupa au maelfu ya kilo za nyama ya nguruwe. Tunazungumzia unit ya measurement ya nyama yaani Kilo na litre(kwa maji). Bado hakuna usawa miongoni mwa hawa watu. Pia hujaeleza umbali kati ya viwanda vya Mengi na Bakhresa. Eleza na hapo tumalize mjadala kitaalamu.

Distribution ya wateja inategemea umbali wa eneo la bidhaa pia, kitu ambacho nimekuuliza hujajibu, I dont know umekwepa kujibu au la.
 
Labda sasa turudi kwenye uhalisia, maji ya uhai na Kilimanjaro yapi yanauzika sana? Au umesahau haya maji ilifikia kipindi watu wakawa wanaamini ni kwa ajili ya maboss tu na kwenye vikao?

Supply ya maji ya uhai ni kubwa kuliko Kilimanjaro, hili wala halihitaji mjadala sana. Nenda hapo kariakoo katafute maji ya Kilimanjaro, alafu hapohapo tafuta maji ya uhai.
Hatuwezi kusema kienyeji maji yapi yaliuzika sana. Takwimu ndizo zitaamua na kwa mwaka upi.

Okay tuendelee,

"Au umesahau haya maji ilifikia kipindi watu wakawa wanaamini ni kwa ajili ya maboss tu na kwenye vikao?"
[emoji115][emoji115]

Lini hayo yalifanyika? Una takwimu za kueleweka au source ni 'trust me bro'?
 
Uko sahihi kabisa naheshimu theory na waliozidevelop sio wajinga, wafanyabiashara wanaomake almost wanacheza na hizo theory, basi tuje uraiani unalotaka wewe, ngoja nijikite sehemu nilipo mara nyingi yaani kahama na mbogwe, mfano choma zone hapa kahama office yake kaibrand kuwa ni v.i.p and luxury hapo theory ya regressive of demand and supply imetiki, pale jamaa nyama choma nusu anauza elf9 na siku za weekend huwa anamaliza ngo'mbe mzima pamoja na bei kuwa juu. Jiulize kwanini haendi kuhangaika na Kuwatisha wachoma nyama wa pale stendi CDT wakati nusu wanauza elf5 na wakati mwingine ukihataji hata Kwa elf2 na ugali wanakubalansia? Twende mbogwe pale kitimoto sehemu nyingi nusu ni elf4 Ila kuna sehemu moja ni VIP kimtindo nimepasahau nusu ni elf6 na wala hafikirii kwenda Kuwatisha hao wanaouza elf4. Hapa kahama sehemu nyingi na hasa stend ndogo nusu ya kitimoto ni elf5 Ila twiga si mbali na stendi wanauza nusu elf7 na hawajawahi kutishia mtu kisa anauza bei ya chini. Nisikukatalie Sana hii kutishiana Kwa sehemu za vijijini huwa inatokea na tena si bei tu hata kuanzisha biashara inayofanana na taikoni wa kijiji Kwa kweli utapata tabu kiroho na kilaivulaivu kabisa.
Ni kitimoto ndio kimefanya ujieleze hivi 🤣🤣
 
Ni wewe ndiyo wa kuelewa, siyo mimi.

"Nimekueleza kuhusu asilimia kwa sababu, huyu mmoja kashusha kwa asilimia 100, alafu huyo mwingine kashusha kwa asilimia 50.

Unasema tusilinganishe punguzo la 500 na punguz la 4000. Kwani bakhressa Hilo punguzo la 500 unafikiri lipo kwenye chupa 1 ya maji au carton 1?? Huyo aliyepunguza sh 4000 unahisi amepunguza sana kuliko va bahressa aliyepunguza sh 500 kwa mamilion ya chupa za maji anazozalisha na kuuza, huyo muuza kitimoto aliyepunguza 4000 kwa kilo wewe unahisi anakosa sh ngapi kulinganisha na bakhressa aliyepunguza sh 500 kwa chupa 1? "
[emoji115][emoji115]
Umechanganya tena madesa. Una uhakika mmoja kashusha 100% na mwingine kashusha 50% kabisa? Really??

Hujaelewa kitu kimoja, hatuzungumzii mamilioni ya chupa au maelfu ya kilo za nyama ya nguruwe. Tunazungumzia unit ya measurement ya nyama yaani Kilo na litre(kwa maji). Bado hakuna usawa miongoni mwa hawa watu. Pia hujaeleza umbali kati ya viwanda vya Mengi na Bakhresa. Eleza na hapo tumalize mjadala kitaalamu.

Distribution ya wateja inategemea umbali wa eneo la bidhaa pia, kitu ambacho nimekuuliza hujajibu, I dont know umekwepa kujibu au la.
Wewe una tatizo la akili
Kutoka 1000 hadi 500, Ni punguzo asalimia ngapi?
Kutoka 12000 had 8000, ni punguzo asilimia ngapi?
Tuzungumzie kilo moja moja na sio kwa ujumla wote? Yaani tuzungumzie kilo 1 against chupa 1, allafu ndio tunakua tumemaliza kulinganisha? Hii hesabu ya wapi?
 
Wewe una tatizo la akili
Kutoka 1000 hadi 500, Ni punguzo asalimia ngapi?
Kutoka 12000 had 8000, ni punguzo asilimia ngapi?
Kwanza kutoka 1000 mpaka 500 hujaeleza ni 50% of what??? Umeiweka kienyeji na ina hang! Kitaalamu hutakiwi kuwa careless kwenye calculations kama ulivyofanya.

Na una uhakika kweli kuwa punguzo la 4000 kutoka 12000 ni asilimia hizo ulizotaja?

NB: weka wazi which is which, usi hang.
 
Yaani wanakupangia wakati ni soko huria?Ungewaambia mimi sitishiki na huo upuuzi wao.Nielekeze hilo eneo mimi nikashushe zaidi iwe 6500
 
Bei uliyo shusha haipo kiushindani! Ungefanya hata elf10 au 11 atleast

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Haipo kiushindani gani? Yale majamaa yana tamaa tu kuumiza watu! Mwamba yeye ameona kabisa hiyo elfu 8 inamlipa vizuri tu! Sasa kama hawataki si wawe wateja wake wachukue mzigo kwa jumla kwa elfu 8 wao wakaize kwa huyi elfu 12? WAPATE faida ya elfu 4 tena anawachinjia na kuwapelekea kwenye magoli yao!
 
Uza 11,000

Ila ongeza ubora na ufundi, pishi liwe unique, huduma iwe fasta, customer care nzuril

Wateja wakishakuzoea unapandisha 12,000
Hapana bwana, sisi walalahoi ndio tumepata chimbo la maana hapo! Auze hiyo hiyo bei si anapata faida ya kutosha bwana!
 
Back
Top Bottom