Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

Tatizo wewe bado uko kwenye 'theory' za supply vs demand; uhalisia sio hivyo, ndio maana kuna taasisi au umoja unao 'regulate' bei; tofauti na hivyo mtoa mada akichukua ushauri wako anaweza kujikuta yuko mbinguni, kama alivyoonywa.​
Uko sahihi kabisa naheshimu theory na waliozidevelop sio wajinga, wafanyabiashara wanaomake almost wanacheza na hizo theory, basi tuje uraiani unalotaka wewe, ngoja nijikite sehemu nilipo mara nyingi yaani kahama na mbogwe, mfano choma zone hapa kahama office yake kaibrand kuwa ni v.i.p and luxury hapo theory ya regressive of demand and supply imetiki, pale jamaa nyama choma nusu anauza elf9 na siku za weekend huwa anamaliza ngo'mbe mzima pamoja na bei kuwa juu. Jiulize kwanini haendi kuhangaika na Kuwatisha wachoma nyama wa pale stendi CDT wakati nusu wanauza elf5 na wakati mwingine ukihataji hata Kwa elf2 na ugali wanakubalansia? Twende mbogwe pale kitimoto sehemu nyingi nusu ni elf4 Ila kuna sehemu moja ni VIP kimtindo nimepasahau nusu ni elf6 na wala hafikirii kwenda Kuwatisha hao wanaouza elf4. Hapa kahama sehemu nyingi na hasa stend ndogo nusu ya kitimoto ni elf5 Ila twiga si mbali na stendi wanauza nusu elf7 na hawajawahi kutishia mtu kisa anauza bei ya chini. Nisikukatalie Sana hii kutishiana Kwa sehemu za vijijini huwa inatokea na tena si bei tu hata kuanzisha biashara inayofanana na taikoni wa kijiji Kwa kweli utapata tabu kiroho na kilaivulaivu kabisa.
 
Hiyo hela inayozidi, inafidia gharama za mazingira; ndio maana kuna sehemu utanunua soda 500, na kwingine soda ile ile utauziwa 5000
 
Ndo hoja yangu ilipo kwanini choma zone hatishii kuwauwa wachoma nyama wa CDT wanaouza nyama nusu elf5 wakati yeye anauza elf9?
 
Ungesema eneo ulipo ingesaidia kutoa ushauri. Kuna maeneo ni hatari sana hasa maeneo ya mipakani... ni kweli wanaweza kukutoa roho na wakatokomea. Cha muhimu kwa sasa karipoti polisi
 
Mfano wako unaweza usiakisi hoja ya mtoa mada; ulishajiuliza kwanini umoja wa wazalishaji wa nishati ya mafuta, wao ndio wanapanga bei?
Bora hata ungetoa mfano mwingine sio hao wa nishati ya mafuta, hao wa mafuta hizo bei ni serikali yenye huruma kama huyo muuza kitimoto anayeuza elf8 badala ya 12!! Hao wauza mafuta wangekuwa na Uhuru wa kupanga bei bila kuingiliwa na serikali mafuta tungenunua elf5 Kwa Lita nakwambia.
 
Katika hii dunia, kuna vitu inabidi uende wa step, hasa vitu vinavyohusu kugusa maslai ya watu; tofauti na hivyo, unaweza ukatangulia na ukawaacha wenzako wanaendelea na maisha
 
Heri ya Pasaka!

Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa ikafikia hatua nyama ikawa tasteless napata hasara nyama natupa.

Baadae nikapiga hesabu nikasema ngoja nishushe bei niuze KG 1 kwa elfu 8, nikabandika tangazo kuwa nyama ni elfu 8 tu Mambo yakawa c haba nikaanza kupata wateja wakutosha tu kwa wiki nikawa nachinja mpaka nguruwe 3.

Juzi kijana wangu niliyemuajiri wakamfata wakamwambia dogo unatuharibia biashara tafadhali tunaomba uuze bei ile ile ya mwanzo 12k,dogo akasema mimi sio boss ngoja niwape namba za boss; walivyopata namba zangu wakanipandia hewani wakaanza kuniambia nishushe bei nawaharibia biashara na hiyo ndio biashara inayoendesha maisha yao na familia yao.

Leo asubuhi wamenifata nyumbani sijajua ni nani aliyewaelekeza wakanipiga mkwara mzito lazima roho yangu iende kuzimu.

Nipeni ushauri wananzengo, nifanyaje?Tusijekufika pabaya maana wanaoneka hawatanii.
Kumtishia mtu uhai Ni kosa ambalo muda huu wangekuwa kizimbani
 
Kucheza na biashara ya mtu ni kucheza na maisha yake, ulitakiwa kupunguza angalau mia tano sio elfu nne nzima, pima uwezo wako kivita uwawahi kabla hawaanza kukulipua au ukijingundua dhaifu ondoa hilo tangazo ila undelee na bei ulionayo. Ikishindikana fanya kwa maelekezo yao.
Kuchezaje na biashara ya mtu

Umeandika upumbavu kabisa

Hakuna Bei elekezi ya nyama Kila mtu anauza kwa Bei yake
 
Heri ya Pasaka!

Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa ikafikia hatua nyama ikawa tasteless napata hasara nyama natupa.

Baadae nikapiga hesabu nikasema ngoja nishushe bei niuze KG 1 kwa elfu 8, nikabandika tangazo kuwa nyama ni elfu 8 tu Mambo yakawa c haba nikaanza kupata wateja wakutosha tu kwa wiki nikawa nachinja mpaka nguruwe 3.

Juzi kijana wangu niliyemuajiri wakamfata wakamwambia dogo unatuharibia biashara tafadhali tunaomba uuze bei ile ile ya mwanzo 12k,dogo akasema mimi sio boss ngoja niwape namba za boss; walivyopata namba zangu wakanipandia hewani wakaanza kuniambia nishushe bei nawaharibia biashara na hiyo ndio biashara inayoendesha maisha yao na familia yao.

Leo asubuhi wamenifata nyumbani sijajua ni nani aliyewaelekeza wakanipiga mkwara mzito lazima roho yangu iende kuzimu.

Nipeni ushauri wananzengo, nifanyaje?Tusijekufika pabaya maana wanaoneka hawatanii.
Ulichofanya siyo. Tena wamekuwa wastaarabu sana. Na sio wao watakaokuua. Wakimtuma mtu kwa maneno bila maandishi wala sms, akakuua, watoto wako na wanafamilia ndio watateseka. Kuna mtu anahitaji elfu 50 kumuua mtu.
Biashara siku hizi ni umoja. Umeshuka sana. Huwa inakera umewakuta wenzako kwenye soko, badala ya kuuza bei ya soko, unashusha sana. Hadi wateja wanadhani wanaibiwa.
 
Nyie wachuuzi wa vijijini ni selfish na malimbukeni Sana, yeye hajawapangia bei Ila nyie mnampangia huo ni upuuzi
 
We kaza fuvu na washauri uchwara wa jf ambao wako wanapigwa kiyoyozi huko makazini kwao.
Usipokua makini utauliwa kweli, upungeze buku 4 nzima halafu utegemee kuchekewa tu.

Wenzio wanapunguza jero tu, na wala haikai saana unazoeana na wateja, unatumia ushawishi wako unapora watej wao then unaanza kuuza bei kama wao.

Hiyo strategy uliyotumia ni hatari kwa usalama wako na familia yako.

Kua mchangamfu, kua na huduma ya delivery (free), ajiri kijana (spy) wa kupeleleza info za washindani wako, bei zao haiba zao, aina za wateja alionao nk.

Ukishupaza fuvu kwa kujitia ni haki yako kuuza kwa bei utakayo utaliwa kichwa kweli.
 
Nyie wachuuzi wa vijijini ni selfish na malimbukeni Sana, yeye hajawapangia bei Ila nyie mnampangia huo ni upuuzi
Mpe bichwa ili kesho uandike RIP, wafanyabiashara hawana masikhara ukigusa biashara zao.

Hii sio siasa hii kwamba kuna porojo porojo na alfu lela ulela. Utampoteza ndguyo.
Hii Tz sio scandnavia countries sawa ndgu.
 
Kwa huko vijijini kwenu wala siwezi kushangaa Kwa kweli! Halafu kuua mtu mnachukilia kama kuua panzi yaani kutishiwa kuuliwa tu, aiseee ningekuwa tayari nishavuna million kadhaa
 
Kwa hiyo yeye yupo mjini na wenzake wapo kijijini lakini wanafanya biashara moja. We ng'ombe kweli.
We ni ngo'mbe wa maziwa kabisa, kwani jamaa kakuambia yupo wapi labda tuanzie hapo, almost Kwa maelezo yake yupo bush, mjini huwezi ukachinja nguruwe mpaka anakuozea yupo tu hajaisha.
 
Back
Top Bottom