PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ijumaa Kareem!

Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi!
Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja.
Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye.

Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo. Anasema mfumo upo kwenye orbit yake. Yeye na wenzake wanazungukamo humo.
Akaongeza, kama ninataka aniunge kwenye orbit yao hiyo ambapo mihimili ya utawala inazungukepo hapo.

Lakini niandae hamnahamna 30M.
Anasema itakubwa Boom! Bam! Unaweka 30M unapata zaidi ya hiyo zaidi ya mara Mia. Dadeki!

Nikamwambia vipi kuhusu No reforms No election. Yule MTU asiyejulikana na aliyesahaulika lakini heshima yake ingalimo alinikazia macho yake yaliyobeba siri za kale ambazo zilibeba maamuzi ya watanzania waliowengi.

Nisiende mbele nikawaacha nyuma! Mimi niwaachie hapa.
Mkiamua kuendelea ni hiyari yenu. Mkiamua kubaki shauri yenu.

Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.

Taikon Master
Dsm
30M??? Huu utani wa zama hizi
Hata mzunguko mmoja wa kuwahonga wapiga kura hautoshi.
30M hata udiwani haitoshi
 
Ijumaa Kareem!

Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi!
Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja.
Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye.

Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo. Anasema mfumo upo kwenye orbit yake. Yeye na wenzake wanazungukamo humo.
Akaongeza, kama ninataka aniunge kwenye orbit yao hiyo ambapo mihimili ya utawala inazungukepo hapo.

Lakini niandae hamnahamna 30M.
Anasema itakubwa Boom! Bam! Unaweka 30M unapata zaidi ya hiyo zaidi ya mara Mia. Dadeki!

Nikamwambia vipi kuhusu No reforms No election. Yule MTU asiyejulikana na aliyesahaulika lakini heshima yake ingalimo alinikazia macho yake yaliyobeba siri za kale ambazo zilibeba maamuzi ya watanzania waliowengi.

Nisiende mbele nikawaacha nyuma! Mimi niwaachie hapa.
Mkiamua kuendelea ni hiyari yenu. Mkiamua kubaki shauri yenu.

Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.

Taikon Master
Dsm

Hiyo pesa ya mboga unatska uitumie kugombea Ubunge?

Mkiambiwa NRNE muwe mnaelewa. Actually, CCM waihitaji zaidi ya vyama vingine. Kuna uhuni mkubwa sana kwenye uteuzi wa wagombea ndani ya CCM.
 
Msimu wa mavuno, peleka mshiko watu wakale. Wote wanaambiwa hivyo.
 
Udiwani wenyewe wa sasahivi haitoshi, wajumbe wamekaa macho juu wanasubiri mgao wao.

Wajumbe wa Ccm katika jimbo ambao wana Mandate ya kumpigia kura Mgombea .

Mara nyingi wanakuaga masikini Sana kuanzia kiakili, kifedha n.k

Kwahiyo hata wakiwa 500 unaweza kuwamiliki kupitia hiyo mil 30.

Maana hela nyingi huwa zinaliwa na wale viongozi wa juu Ila wajumbe wanaopiga kura wa ccm huwa wanapewa elfu kumi wengine wanapewa kofia na tisheti.

Mfano majimbo ya vijijini huko watu hugawa chumvi ya miatano na Viberiti na MTU anapata ubunge.
 
Hiyo pesa ya mboga unatska uitumie kugombea Ubunge?

Mkiambiwa NRNE muwe mnaelewa. Actually, CCM waihitaji zaidi ya vyama vingine. Kuna uhuni mkubwa sana kwenye uteuzi wa wagombea ndani ya CCM.
Wanaopiga kura ni wajumbe je umewahi kukaa na hao wajumbe wa Ccm?
 
Kuna roho fulani inanijia inasema nimsaliti diwani wetu nigombee mimi na nikiangalia nakubalika ila kuna roho inasema niende nizungumze naye aniachie yaani nachannganyikiwa bahati mbaya na muda umeshafika .
Rafiki zangu wa dhati nipeni ushauri
Mkuu min -me
Mkuu Dkt. Gwajima D
Mkuu Dr Adam Francis
Mkuu DR HAYA LAND
Mkuu Am For Real

Nenda ugombee Mkuu uzuri wa udiwani unaweza kuwa na nafasi huku unaendelea na majukumu yako mfano umeajiriwa n.k then next step ukatafuta namna ya kujichimbia juu zaidi.

Ila isikilize zaidi sauti yako ur instinct or inner voice
 
Msaliti mkuu kama unaona kuna maslai mazuri
Masilahi yapo kwa hii kata kwanza naona watakuwa wananitukuza mno ila zaidi miradi ya TASAF na hizi shule mpya ambazo hela zake zimeshaingia kwenye mfuko wa ujenzi wa kata najiona mbali kaka .

Sijui nimuanze vipi boss ili hata nikikutwa na kitu kizito niweze kurudi ofisini salama salmini
 
Nenda ugombee Mkuu uzuri wa udiwani unaweza kuwa na nafasi huku unaendelea na majukumu yako mfano umeajiriwa n.k then next step ukatafuta namna ya kujichimbia juu zaidi.

Ila isikilize zaidi sauti yako ur instinct or inner voice
Nafsi yangu inasema niteme kazi za ajira nizame kwenye siasa ila sasa huyu mbaba nimekuwa rafiki yake miaka saba saba na ni jana ameomba gari langu yaani corolla yangu pendwa iwe miongoni mwa gari zake za kampeni mbaya ananitaka niwe ndiye kampeni meneja wake ila nafsi inasema hapana hii nafasi ni yako .

Kaka wacha nitafute chimbo la pekee yangu niendelee kuisikiliza nafsi ila nauona ugomvi mkubwa mimi na huyu jmaa yangu
 
Back
Top Bottom