Sielewi kwa nini, lakini nimecheka sana!

hahahaSielewi kwa nini, lakini nimecheka sana!
Huyo kakudanganya. Angalau angesema andaa 100m. Hiyo 30m labda udiwani tena sio mjini.Ijumaa Kareem!
Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi!
Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja.
Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye.
Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo. Anasema mfumo upo kwenye orbit yake. Yeye na wenzake wanazungukamo humo.
Akaongeza, kama ninataka aniunge kwenye orbit yao hiyo ambapo mihimili ya utawala inazungukepo hapo.
Lakini niandae hamnahamna 30M.
Anasema itakubwa Boom! Bam! Unaweka 30M unapata zaidi ya hiyo zaidi ya mara Mia. Dadeki!
Nikamwambia vipi kuhusu No reforms No election. Yule MTU asiyejulikana na aliyesahaulika lakini heshima yake ingalimo alinikazia macho yake yaliyobeba siri za kale ambazo zilibeba maamuzi ya watanzania waliowengi.
Nisiende mbele nikawaacha nyuma! Mimi niwaachie hapa.
Mkiamua kuendelea ni hiyari yenu. Mkiamua kubaki shauri yenu.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.
Taikon Master
Dsm
umeshauriwa vizuri na watoa rushwa gentleman, wale ambao hawana hoja wanatafuta ubunge wa kununua ambao hivi sasa watetea ubunge wengi wanachukiwa kweli.Ijumaa Kareem!
Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi!
Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja.
Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye.
Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo. Anasema mfumo upo kwenye orbit yake. Yeye na wenzake wanazungukamo humo.
Akaongeza, kama ninataka aniunge kwenye orbit yao hiyo ambapo mihimili ya utawala inazungukepo hapo.
Lakini niandae hamnahamna 30M.
Anasema itakubwa Boom! Bam! Unaweka 30M unapata zaidi ya hiyo zaidi ya mara Mia. Dadeki!
Nikamwambia vipi kuhusu No reforms No election. Yule MTU asiyejulikana na aliyesahaulika lakini heshima yake ingalimo alinikazia macho yake yaliyobeba siri za kale ambazo zilibeba maamuzi ya watanzania waliowengi.
Nisiende mbele nikawaacha nyuma! Mimi niwaachie hapa.
Mkiamua kuendelea ni hiyari yenu. Mkiamua kubaki shauri yenu.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.
Taikon Master
Dsm
Dhamira iwe kuwatumikia wananchi, na wananchi wenyewe ndio wataamua nani kati yako wewe na rafiki yako anawafaa kuwa mtumishi wao. Hata hivyo ukitaka siasa zina kanuni zake, mojawapo ni kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu, maslahi ndio yatakayowaunganisha au kuwatenganisha.Kuna roho fulani inanijia inasema nimsaliti diwani wetu nigombee mimi na nikiangalia nakubalika ila kuna roho inasema niende nizungumze naye aniachie yaani nachannganyikiwa bahati mbaya na muda umeshafika .
Rafiki zangu wa dhati nipeni ushauri
Mkuu min -me
Mkuu Dkt. Gwajima D
Mkuu Dr Adam Francis
Mkuu DR HAYA LAND
Mkuu Am For Real
Mkuu Dr am 4 real PhD
Mkuu DR SANTOS
Huko Pemba hazitoshi.Milioni 30 ni bajeti za kugombea Ubunge Pemba. Kama hauko Pemba wanataka wale pesa zako.
Kwa maneno haya kaka itoshe kukuambia kuwa sasa nachukua form na ninatangaza nia muda wowote kutoka sasa .Dhamira iwe kuwatumikia wananchi, na wananchi wenyewe ndio wataamua nani kati yako wewe na rafiki yako anawafaa kuwa mtumishi wao. Hata hivyo ukitaka siasa zina kanuni zake, mojawapo ni kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu, maslahi ndio yatakayowaunganisha au kuwatenganisha.
Kisiwa chenye hazina. Yule MTU asiyejulikana na aliyesahaulika lakini heshima yake ingalimo alinikazia macho yake yaliyobeba siri za kale ambazo zilibeba maamuzi ya watanzania waliowengi.
Umenikumbusha riwaya moja matata ya KISIWA CHA MADAGASCAR kwa haya maneno yako🤣
Hiyo nayo ni riwaya?Kisiwa chenye hazina
Ndio ni riwayaHiyo nayo ni riwaya?
Unayo mkuu?Ndio ni riwaya
Mtibeli unakwama.Swali gani hilo?Ijumaa Kareem!
Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi!
Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja.
Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye.
Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo. Anasema mfumo upo kwenye orbit yake. Yeye na wenzake wanazungukamo humo.
Akaongeza, kama ninataka aniunge kwenye orbit yao hiyo ambapo mihimili ya utawala inazungukepo hapo.
Lakini niandae hamnahamna 30M.
Anasema itakubwa Boom! Bam! Unaweka 30M unapata zaidi ya hiyo zaidi ya mara Mia. Dadeki!
Nikamwambia vipi kuhusu No reforms No election. Yule MTU asiyejulikana na aliyesahaulika lakini heshima yake ingalimo alinikazia macho yake yaliyobeba siri za kale ambazo zilibeba maamuzi ya watanzania waliowengi.
Nisiende mbele nikawaacha nyuma! Mimi niwaachie hapa.
Mkiamua kuendelea ni hiyari yenu. Mkiamua kubaki shauri yenu.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.
Taikon Master
Dsm
Niliisomaga zamani sana ilipotea hapa nina Nagona,mzingile,rosa mistika, janga sugu la wazawa,daresalam usiku, roho ya paka na vingineUnayo mkuu?
Hauna vya Eric shigongo?Niliisomaga zamani sana ilipotea hapa nina Nagona,mzingile,rosa mistika, janga sugu la wazawa,daresalam usiku, roho ya paka na vingine