PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Utakuja kulia 😄
Namjuwa mtu aliuza kajumba
Kake aongeze pesa alihaidiwa
Atakula ubunge....pesa ziliishiwa kuliwa tu 😄

Ova

Kuna watu watanicheka humu na kunizomea.
Bado nakumbuka Pascal kilichomtokea na humu wadau walivyomfanyia psych therapy 🤣🤣
 
Hiyo pesa ya mboga unatska uitumie kugombea Ubunge?

Mkiambiwa NRNE muwe mnaelewa. Actually, CCM waihitaji zaidi ya vyama vingine. Kuna uhuni mkubwa sana kwenye uteuzi wa wagombea ndani ya CCM.

30M sio pesa ndogo.
97% ya Watanzania hawana hiyo pesa
 
Kuna roho fulani inanijia inasema nimsaliti diwani wetu nigombee mimi na nikiangalia nakubalika ila kuna roho inasema niende nizungumze naye aniachie yaani nachannganyikiwa bahati mbaya na muda umeshafika .
Rafiki zangu wa dhati nipeni ushauri
Mkuu min -me
Mkuu Dkt. Gwajima D
Mkuu Dr Adam Francis
Mkuu DR HAYA LAND
Mkuu Am For Real
Mkuu Dr am 4 real PhD
Mkuu DR SANTOS
Ole wako ule pesa yangu.
Kabla hujaila andika Kabisa wosia wako usijesumbua watu
 
umeshauriwa vizuri na watoa rushwa gentleman, wale ambao hawana hoja wanatafuta ubunge wa kununua ambao hivi sasa watetea ubunge wengi wanachukiwa kweli.

nenda na mipango mikakati mahususi ya kutatatua changamoto za wananchi na na kuhakikisha una dhamira njema ya kimkakati kukidhi mahitaji wananchi ya kila siku.

kumbuka,
elections is very expressive process in nature 🐒

Mipango nimeambia haitoshi.
Angalia hata humu wadau wanasema hilohilo. Na wanasema hata hiyo 30M ni kama nachekesha
 
Hiyo pesa ya mboga unatska uitumie kugombea Ubunge?

Mkiambiwa NRNE muwe mnaelewa. Actually, CCM waihitaji zaidi ya vyama vingine. Kuna uhuni mkubwa sana kwenye uteuzi wa wagombea ndani ya CCM.
Budget angalau million 300 hii ni kutokana na mfumo mbovu wa uchaguzi uliojaa rushwa
 
Ijumaa Kareem!

Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi!
Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja.
Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye.

Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo. Anasema mfumo upo kwenye orbit yake. Yeye na wenzake wanazungukamo humo.
Akaongeza, kama ninataka aniunge kwenye orbit yao hiyo ambapo mihimili ya utawala inazungukepo hapo.

Lakini niandae hamnahamna 30M.
Anasema itakubwa Boom! Bam! Unaweka 30M unapata zaidi ya hiyo zaidi ya mara Mia. Dadeki!

Nikamwambia vipi kuhusu No reforms No election. Yule MTU asiyejulikana na aliyesahaulika lakini heshima yake ingalimo alinikazia macho yake yaliyobeba siri za kale ambazo zilibeba maamuzi ya watanzania waliowengi.

Nisiende mbele nikawaacha nyuma! Mimi niwaachie hapa.
Mkiamua kuendelea ni hiyari yenu. Mkiamua kubaki shauri yenu.

Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.

Taikon Master
Dsm
Hiyo ni mbali na t-shirt na vitenge au ya mfukoni mwao?!!Kama ni ya mfukoni mwao peleka kwa Yatima na wajane!Utabarikiwa.
 
Back
Top Bottom