Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Nzuri shemeji ngoja nikusemeshe PM
Mambo gani sasa haya unaretaShemeji za siku?
Mambo gani sasa haya unareta
Sijakuita lakini kwenye uzi wangu.Acha ujinga dogo, shule ushindwe wewe halafu utusumbue sisi, leta mgao wa ada nikuelekeze cha kufanya.
Acha kuposti posti kasome, ukiotewa unaliwa kichwa.Unaharibu uzi ndugu
Toa ushauri wa kujenga
Sasa tutakusaidiaje huku mitihani ni private issuehilo silo la muhimu ,,,hiyo ni privacy issue
Sijakuita lakini kwenye uzi wangu.
Huyo huyo ila ID mpya angalia hata andikaji yakeVITUKO VYA HR 666 ENZI ZILEEEE NAONA VINAJIRUDIA....
soma uelewe kabla hujakomentiSasa tutakusaidiaje huku mitihani ni private issue
Wa kujenga nini??Unaharibu uzi ndugu
Toa ushauri wa kujenga
Utakuja kuwa kama profesa yulee aliyeruhusu makinikia ziondoke na kutuachia kutuachia mashimo.Jamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana
Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu kwenye pepa ,,nikiona sipo comfortable zaidi naomba ruksa naenda kugoogle maswali chooni au kuangalia majibu kwenye slides za kwenye simu
Sasa jamani UE inakaribia halafu kupiga chabo ni vigumu kwa sababu wasimamizi wanakuwa wengi na msimamizi akikudaka unapiga chabo halafu akakupeleka ngazi ya juu anapewa laki 2 yake ,,,,,sasa hapa nilipo nawaza kila ninachokisoma sikielewi kwa sababu nimedoji vipindi vingi na mitihani ndo kama hivyo inakaribia
Je nifanye nini ili nifaulu???