Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

Uvumilivu ni muhimu kwenye mafanikio.
 
Mkuu, usijilaumu sana, utt pia ingekufaa lakini percent ambayo ingeongezeka ni ndogo mnoo, angalia namna ya kuboresha hiyo nyumba itakufaa siku za mbeleni
 
sasa mkuu wa kuniumbua kwene huu uzi kwamba nataka nikope😂😂😂
ni kama umeenda sehemu mtu anaanza kuelezea historia ya magumu ulopitia aisee
Nimeona hiyo ndio njia sahihi ya kutatua changamoto inayokukabili.
Nenda kakope asset tayari unayo, km una biashara iendeleze kwa ukubwa. Na vizuri zaidi uko mikoa ambayo ina fursa nyingi za biashara, hapo labda ww uwe mvivu.

Angalizo kabla hujaenda kukopa omba kwa imani na panga mipango ya kitu unachoenda kufanyia huo mkopo, na baada ya kupata hizo pesa pia ziombee usifanyie vitu ambavyo sio lengo. Hizo pesa hata mjomba ako akimeza shoka usizitoe.!!
 
Hiyo Pesa Si Ungenunua Kiwanja Sasa Hivi Ungepiga Bei Unadhani Ni Bei Gani Ungeuza.
Kuwekeza Kwenye Bora Ujenge Nyumba Za Wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…