Ni kweli, Changamoto ni kuipata hiyo 100mAisee hii UTT ni very serious. Ni pesa nzuri yenye faida isiyo na stress. Ukiwa na uwezo ukadondoshamo 100 hivi, aisee Tanzania utaifurahia kama middle class country.
insaidia sana hii kituAisee hii UTT ni very serious. Ni pesa nzuri yenye faida isiyo na stress. Ukiwa na uwezo ukadondoshamo 100 hivi, aisee Tanzania utaifurahia kama middle class country.
Shida wale jamaa wa biashara..watakwambia fungua biashara ndani ya mwaka uta double mtaji. Yaani biashara ingekuwa rahisi hivi, nadhani Tanzania tungekuwa na matajiri wengi sana..insaidia sana hii kitu
Yes mkuu inawezekana, Lakini pia mifuko imetofautiana terms na conditionsIkiwa nimeweka fedha zangu na nikahitaji kujiondoa, naweza chukua fedha zangu zote kwa UTT?
asante kwa elimuYes mkuu inawezekana, Lakini pia mifuko imetofautiana terms na conditions
Mfano mifuko hii 👇🏻
Jikimu fund
Liquid fund
Umoja fund
Unaweza ukachukua fedha zako muda wowote hata siku moja baada ya kufungua account
Ila mifuko hii
Bond fund
Wekeza maisha fund
Kuna taratibu za tofauti kidogo
Bond fund
Ukishafungua A/C huruhusiwi kutoa pesa mpaka miezi 3-6 ipite kwanza ndo utaweza kutoa pesa zako
Wekeza maisha fund
Ukishafungua A/C huruhusiwi kutoa pesa katika Kipindi cha miaka 10, japo ikisha pita miaka 5 unaweza ukatoa kiasi cha pesa zako, ila kama unataka kutoa zote itabidi usubiri mpaka miaks 10 ipite
Bora umeongea ukweli, kuna watu hua wana mwazo ya ajabu. Mtu anakuambia tafuta hela urekebishe nyumba. Hela unatoa wapi kama ndio mradi unaotegemea, hio mkuu ulikua unafanya biashara kichaa.Sina hela
Huu ni mfuko gani mkuu12% ya 4,500,000 ni 540,000
12% ya 5,040,000 ni 604,800
12% ya 5,644,800 ni 678,000
Kwa miaka mitatu ungepata 1,823,000
NB; Bado uwekezaji wa ardhi ni mzuri kwako.
LiquidHuu ni mfuko gani mkuu
Cdrb au nmb nje hapo lazima wakulambeWakuu,hivi ni njia gani ambayo haina makato ukitaka deposit pesa UTT amis ?
Ni kupitia kujaza forms zao zile au kwa simu ?Cdrb au nmb nje hapo lazima wakulambe
Sasahapo 540K hio ni kwa mwaka. Kwa mwezi ni kama elfu 40+Liquid
Kupitia simu tuu, simu banking either kwa kutumia menu au appNi kupitia kujaza forms zao zile au kwa simu ?
Nmb bankWakuu,hivi ni njia gani ambayo haina makato ukitaka deposit pesa UTT amis ?
Unatumia fomu au simu ?Nmb bank
Umeona wapi nyumba standard yenye thamani ya 4.5 million???Basi hiyo nyumba itakuwa sio standard, yani kodi 30k kwa mwezi??
Mimi pia niko UTT hiyo 10,000 mwambie ni baada ya muda gani anapata hiyo faida.we kama muwekezaj wa UTT unaelewa kila milion1 inazaa elf 10 sasa hyo mara hyo miaka tena ni uhakika