Naelewa umuhimu wa facts. Mimi ndiye nimeanza kuongelea facts hapa. Wewe unataka kunipora habari za facts.Utabishaje bila kuweka facts mezani!?
Mbona shangazi kaenda ICC kuthibitisha uchaguzi haukua halali !
Mpaka kuuliza hivyo, ni tayari Una facts za kutokupangiwa Ivo, sasa zimwage hapa, vinginevyo hata akiziweka hutajua kitu, ila utabisha tu.Naelewa umuhimu wa facts. Mimi ndiye nimeanza kuongelea facts hapa. Wewe unataka kunipora habari za facts.
Ndiyo maana nilivyoona zimeletwa habari za huyu mtu kupangiwa kufa, nikauliza hivi.
"Unaweza kuthibitisha hilo, with facts?"
Hujathibitisha.
Unaweza kuthibitisha huyu mtu alipangiwa kufa hivyo? With facts?
ndo ile jamaa yuko hotelini halafu kuna madem wawili wako uchi wameshikilia wine?ilikuwa imeandikwa picha za utupu mkuu
Unalazimisha.Mpaka kuuliza hivyo, ni tayari Una facts za kutokupangiwa Ivo, sasa zimwage hapa, vinginevyo hata akiziweka hutajua kitu, ila utabisha tu.
Mkuu airbags zinasaidia kwa kiwango fulani tu na mara nyingine hazisaidii ,kwenye rollover kwa mfano airbag inakusaidiaje?Tatizo unayafatilia magari kwa nyuma, Bali hufuatilii technolojia!
Ungekuwa unafuatilia technology usingebisha na kitu cha wazi!
Kama teknolojia ya puto la ajali IPO na inafanya kaz, unashindwaje kutambua fire detector and suppression?
mkuu mashine si itachubukaHiyo ndio kitu inatakiwa ifanywe kila wikend ....bonge la party la kugegena tuu.....yaani hapo mchawi pumzi kama ya tk master tuisila kisinda 🤣🤣🤣🤣
Mzee, hata ndege ya kisasa kabisa kama A320 haina hiyo unayoita built in extinguisher sembuse LamboSasa hayo magari yana umhimu gani kuwa na gharama hivyo kama yamekosa hata Auto-fire extinguisher ili alipopata ajali moto ungezimwa na built-in extinguisher?
Si bora angemiliki Subaru au IST tujue moja!
Hatukatai yana gharama lakini tujiulize kama yameshindwa kuwa teknolojia ndogo kama hii ambayo hata premio yangu nimeweza kuidesign ...je gharama zake hizo ni kwa faida gan?
Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
Gari ya gharama kama haina security ni upuuzi!
Alikua na mke anaitwa Zodwa waliachana. Ni shoga mkubwa sana wa ZariHakuwahi kuwa na mke
Mzee Rupia yule balozi. Familia yake ya dini sana kwa kiasi chaoHahah unamsemea yule mtoto wa mzee Rupia.
Gari yeyote yenye fire suppression system haiwezi kushika moto sio? Kwa mantiki hiyo gari yeyote ambayo ni 4WD haiwezi kukwama nayo.Tatizo unayafatilia magari kwa nyuma, Bali hufuatilii technolojia!
Ungekuwa unafuatilia technology usingebisha na kitu cha wazi!
Kama teknolojia ya puto la ajali IPO na inafanya kaz, unashindwaje kutambua fire detector and suppression?
Mwana Tanu na tajiri wa mwanzo mweusi kumiliki Ma ghorofa kariakoo.Mzee Rupia yule balozi. Familia yake ya dini sana kwa kiasi chao
Inakuwaje wanaJF!
Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.
Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.
Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m
Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.
Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.
Bentley continental - 800k-1m US $
MERCEDES G 63- 800K-1M
RANFE ROVER SRV - 300k - 500k
Range rover autobiography 800k-1m
Yani hizo kwa uchache tu
Habari za tajiri Muulize maskini!
View attachment 1624186
Tajiri hawezi kuvaa zilizochanika.Inakuwaje wanaJF!
Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.
Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.
Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m
Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.
Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.
Bentley continental - 800k-1m US $
MERCEDES G 63- 800K-1M
RANFE ROVER SRV - 300k - 500k
Range rover autobiography 800k-1m
Yani hizo kwa uchache tu
Habari za tajiri Muulize maskini!
View attachment 1624186
Mzee mkubwa kama hujui jambo ni bora ukatulia na kusoma comments za watu..utaonekana una busara.
Ushauri wa bure!
It was earlier reported that Ginimbi wife was Zodwa Mkandla. There are no records to prove that the two were married. However, in 2018, Ginimbi disclosed that they were no longer together but have remained great business partners.Alikua na mke anaitwa Zodwa waliachana. Ni shoga mkubwa sana wa Zari
Ni Manaiki, sio ManeckHahah Producer Maneke.
Mpaka sasa nanufaika kwa pesa zake ingawa hakuna anayenijua familia ile. Kuna ka chaneli kao pesa zake zinanilipia ada kwa miaka kama kumi sasa. Huwa tunakutana kanisani mara chache na events chache tu ninapoenda kama 'mbwa-mbwa'. Nimewakariri sura tu isipokuwa kaka yao mkubwa jina limenitoka kidogo.Mwana Tanu na tajiri wa mwanzo mweusi kumiliki Ma ghorofa kariakoo.
Sawa mzee baba.Ni Manaiki, sio Maneck
'Huwa tunakutana kanisani mara chache na events chache tu ninapoenda kama 'mbwa-mbwa'.Mpaka sasa nanufaika kwa pesa zake ingawa hakuna anayenijua familia ile. Kuna ka chaneli kao pesa zake zinanilipia ada kwa miaka kama kumi sasa. Huwa tunakutana kanisani mara chache na events chache tu ninapoenda kama 'mbwa-mbwa'. Nimewakariri sura tu isipokuwa kaka yao mkubwa jina limenitoka kidogo.
Mzee jumba lake la ufukweni