Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Itafikia sehemu suala la imani litabakia kwa wazee km nchi za EU/US/Japan wao wanachofundishwa hasa kwa nchi za Asia ni nidhamu na heshima na maadili jinsi ya kuishi na kufanya kazi,wanatamaduni zao and they follow it,Ila si hii brain wash iliopo Africa it’s too much
 
Hata nao wana miungu yao wanaiabudu
 
Itafikia sehemu suala la imani litabakia kwa wazee km nchi za EU/US/Japan wao wanachofundishwa hasa kwa nchi za Asia ni nidhamu na heshima na maadili jinsi ya kuishi na kufanya kazi,wanatamaduni zao and they follow it,Ila si hii brain wash iliopo Africa it’s too much
Waambie ukweli ndugu yangu
 
Hujui yatakayomfika mtu akiwa Nyumbu?
Atatumika vibaya na jamii ya wajanja wajanja kama ilivyo kwa hawa manabii wa hovyo
Akishatumika vibaya itam affect nn huyo mtoto
Na vp akifikisha miaka 18 akaamua kuwa nyumbu utafanya nn
 
Ile Ekaristi kula ni unhygienic, otherwise kuwakataza watoto kwenda Kanisani ni kujitafutia balaa.
Halafu haya makanisa mengi yana mwalimu mmoja tu ; Kakobe au Mwamposya,au Geodevie,au nani.
Kila kiongozi anajua huwezi kufanya kazi na mshauri mmoja tu.
 
Back
Top Bottom