Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Kwani wakienda wakawa manyumbu ww utapata hasara gani
Unavofanya hivyo maana ake kuna kitu kinaku drive against na kama unakuwa drived ina maana ipo nguvu inakupelesha so things are really
 
Nitazikwa ila sitaki maujinga yenu ya kuniombea coz hayasaidii wala nini na sioni tija yake kwa sababu hamjawahi fufua mtu wala kuhakiki kuwa maombi yamemfikisha marehem peponi.
Ni utahira kwa sisi Waafrika kutaka kwenda mbinguni kuliko hata hao walioanzisha hizo dini na kuprint hivyo vitabu mnavyoviita vitakatifu
Nadhani umekuwa brain washed wewe!
 
Nanukuu:
"Watu wote wanaokufa na kuzikwa, wanakuwa maiti, kwa maneno mengine mizoga, na mizoga yao inafukiwa.✅

Hizo sherehe za kuombewa na kasisi, mchungaji, Shehe, ni maigizo ya kuwafariji nyie mliobaki, aliyefariki hayo kashawaachia nyie yeye hata hajui huko."✅
Sehemu iliyobaki (sikuinukuu)kwenye komenti yako; hayo ni mambo ya Imani. Na Imani ya mtu sio rahisi kuibadili. Mimi naamini kifo sio mwisho kuna maisha mengine baada ya kifo.
Imani unaruhusiwa kuamini ukweli au uongo. Ni haki ya kikatiba na kibinadanu.

Sasa kwa nini tuijadili?

Tunajadili facts. Imani haijadiliwi. Ni jambo la faragha ya mtu binafsi.
 
Sawa. Hakuna sababu ya kuijadili imani ya mtu kwani ni faragha ya mtu binafsi.
Lakini Imani yaweza kujadiliwa pale ambapo Imani na Maudhui yake inapowekwa hadharani na Ushawishi wake kana kwamba ni jambo mtambuka.
 
Naam,

Na ikishawekwa hadharani haijadiliwi kama imani, inajadiliwa kama imani ya kweli ama la.
 
Na hapo ndo tunapata mgawanyiko: Kundi la wenye kukubaliana kwamba ni ya kweli na kundi la wenye kuikataa na kudai sio ya kweli. Lakini pia huwa kuna lile kundi la tatu ambao ni wale ambao hawajui waangukie upande gani. Hawa ni hatari kwani wakipata Ushawishi wanayumbayumba leo huku, kesho kule. Hawana msimamo.
 
Utashambuliwa na wafia dini kila kona, wanakuja hapa

Lazima atakuwa na sababu za msingi za kufikia uamuzi huo. Cha msingi ni kuwa na mtazamo neutral ukianza kumsikiliza.

CC: Billie - tunaomba utagute muda wa kufafanua hoja moja baada ya nyingi ili tuelewe msingi wa maamuzi yako.
 
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE

Sema Afrika kuna shida sana. Kuna watu wanafuata mila na desturi za watu fulani toka mashariki ya kati na kuiita dini kama mavazi, lugha, majengo yao ya kukutania hayana viti - bila kujua kule hakuna misitu, chakula, mpangilio wa ndani mwao wana kaa bila furniture nk.nk.
 
Kwani wakienda wakawa manyumbu ww utapata hasara gani
Unavofanya hivyo maana ake kuna kitu kinaku drive against na kama unakuwa drived ina maana ipo nguvu inakupelesha so things are really
Wakiwa nyumbu nitajilaumu kwa kushindwa kuwaelekeza njia sahihi za maisha na nitakuwa baba wa hovyo.
 
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Mkuu naomba nikutumie sms Ili ikiwezekana unadili mawzo mawili
 
Lazima atakuwa na sababu za msingi za kufikia uamuzi huo. Cha msingi ni kuwa na mtazamo neutral ukianza kumsikiliza.

CC: Billie - tunaomba utagute muda wa kufafanua hoja moja baada ya nyingi ili tuelewe msingi wa maamuzi yako.
1.Nia yangu nataka watoto wangu wawe huru kuchagua dini watayoielewa huko mbeleni wakikua naepuka kuwabaka kimaamuzi kwa kuwabatiza na kuwapeleka mafundisho ambayo hata wao hawakuwa tayari kuyapokea.
2.Mimi nimeona niwe na imani isiyo amini uwepo wa dini nikiwa na maana kuwa hata kitabu ninachosona nahisi kinajichanganya chenyewe pia kina stori za kusadikika ikiwemo YESU KUPAA,NYOKA KUONGEA ,MUNGU ALIONGEA NA MANABII ALAFU NINAJIULIZA KWA NINI VIZAZI VYA KI LEO MUNGU HAONGEI NASI
3.Naepusha kujaza ubongo wa wanangu mambo ambayo hayapo na yaliyojaa vitisho kiasi kwamba nitawajaza unyonge dhidi ya ku face maisha ya kileo ambayo mnyonge ama muoga anaweza kuwa mtumwa kwa wajanja kadhaa.
4.Nawapenda watoto wangu nataka kuwafundisha kuwa pepo yao ipo hapa hapa duniani na wataipata kwa kuwekeza nguvu na umakini kwenye maisha.
 
Back
Top Bottom