Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hatakuwepo, watakaohamgaika ni ndugu zake kutafuta kaburi au hilo limzoga walikabidhi jiji.Aisee.!! Unatengeneza bomu litakalokulipukia mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatakuwepo, watakaohamgaika ni ndugu zake kutafuta kaburi au hilo limzoga walikabidhi jiji.Aisee.!! Unatengeneza bomu litakalokulipukia mwenyewe
Umempa Shetani watoto awalee...Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Shetani ni mawazo yako. Unaweza kunionesha wapi mawazo yanazaliwa zaidi ya akilini mwako?Umempa Shetani watoto awalee...
Kwanini unamilikisha nguvu ya muumbaji kwa kitu kisichokuepo 'Mungu'?Sasa kama wewe mwenyewe maisha Yako hayana Ibada, na huna mahusiano na mawasiliano na Mungu,
Unawezaje kuwafundiaha wanao kumjua na kuhofu Mungu?
Ufukie kama mzoga au uweke mwili kwenye jeneza la dhahabu, mwisho wa siku utaoza tu.Ukifa tukufukie kama mzoga au utazikwa na City?
Kuna wajinga huamini hivyo uko sahihi kuuliza hilo swaliUnaenda Church kama backup ili ukifa uzikwe vizuri?
Kwa hiyo akienda shule kusoma historia kuwa binadamu wa kwanza alikuwa sokwe na alipatikana Tanzania hiyo iko sawa?Kwa kweli tunaenda kuwajaza watoto mataka taka yasio na ulazima vichwani mwao bila sababu ya msingi.
Iko sawa ndio, ko we huamin evolution lakni unaamini binadamu aliumbwa kwa udongo sio?Kwa hiyo akienda shule kusoma historia kuwa binadamu wa kwanza alikuwa sokwe na alipatikana Tanzania hiyo iko sawa?
Kuwa sisi watanzania ni kizazi cha sokwe na wajomba zetu nyani na ngedere kwa hiyo hapo sawa? Wewe kizazi cha sokwe
Hujazungumzia ile hoja ya kufukiwa kama mzoga alivyokuuliza Dr. Hapo unasemaje?Basi post #2 ni pointless.
Kwa sababu si lazima kuzikwa na kanisa, na wala si lazima kuzikwa na City.
Mtu anaweza kuzikwa na ndugu zake lakini si kikanisa, na wala si kuzikwa na City.
Why do people have such a limited inagination?
Kwanza kabisa, kufukiwa kama mzoga maana yake nini?Hujazungumzia ile hoja ya kufukiwa kama mzoga alivyokuuliza Dr. Hapo unasemaje?
Yeah. Na Taratibu za jiji zichukue mkondo wake.Hatakuwepo, watakaohamgaika ni ndugu zake kutafuta kaburi au hilo limzoga walikabidhi jiji.
Waache waende kanisani, wakifikia umri wa maamuzi watajua cha kufanya. Huenda hata wewe shida ni kukosa mafundisho ya msingi ya dini ndio maana unashindwa kuelewa mafundisho ya kawaida kabisa ya dini.Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Kwanini watu wawekeze mtaji mkubwa kwenye kutunza heshima ya maiti kuliko kujikita zaidi kujali katika utu kwenye vitu ambavyo bado kwa wakati huo vinaendelea kupumua?Kuna wajinga huamini hivyo uko sahihi kuuliza hilo swali
Church ni more than that concept
MV Bukoba ilizama kuna watu mamia waenda kanisani maiti zao hazijawahi patikana hadi leo
Pia Air Malaysia ilikuwa na waenda kanisani kibao hadi leo wote hajawahi patikana hata mmoja ndege ilivyoruka ilipotea kimoja pamoja na abiria wote ndani ya ndege
Kanisa ni zaidi ya kuzika waliofariki
Sote tunawafundisha watoto wetu tunayoyamini sisi.Hakuna anaekupinga lakini watoto wako wana bahati mbaya ya kuwa na baba mjinga kama wewe
Litachimbwa shimo depth 3metres+ na mfu (kilichokufa=Mzoga) kutupwa/kutumbukizwa ndani ya shimo hilo halafu udongo unalundikwa juu kuliziba shimo hilo. Hakuna rituals zozote ni kama inavyokuwa kwa mbwa au paka aliyekufa.Kwanza kabisa, kufukiwa kama mzoga maana yake nini?
Watu wote wanaokufa na kuzikwa, wanakuwa maiti, kwa maneno mingine mizoga, na mizoga yao inafukiwa.Litachimbwa shimo depth 3metres+ na mfu (kilichokufa=Mzoga) kutupwa/kutumbukizwa ndani ya shimo hilo halafu udongo unalundikwa juu kuliziba shimo hilo. Hakuna rituals zozote ni kama inavyokuwa kwa mbwa au paka aliyekufa.