Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Nanukuu:Watu wote wanaokufa na kuzikwa, wanakuwa maiti, kwa maneno mingine mizoga, na mizoga yao inafukiwa.
Hizo sherehe za kuombewa na kasisi, mchungaji, Shehe, ni maigizo ya kuwafariji nyie mliobaki, aliyefariki hayo kashawaachia nyie yeye hata hajui huko.
Watu wana uwezo mkubwa wa kujidanganya wao wenyewe kwa "manufactured reality", ndiyo hizo rituals.
Umetenganishwa na mpendwa wako kwa kifo, hutaonana naye tena, unajitungia uongo na ujinga kwamba utaonana naye tena mbinguni ili kujifariji tu.
Ndicho kinachofanyika kwenye hizo rituals.
"Watu wote wanaokufa na kuzikwa, wanakuwa maiti, kwa maneno mengine mizoga, na mizoga yao inafukiwa.✅
Hizo sherehe za kuombewa na kasisi, mchungaji, Shehe, ni maigizo ya kuwafariji nyie mliobaki, aliyefariki hayo kashawaachia nyie yeye hata hajui huko."✅
Sehemu iliyobaki (sikuinukuu)kwenye komenti yako; hayo ni mambo ya Imani. Na Imani ya mtu sio rahisi kuibadili. Mimi naamini kifo sio mwisho kuna maisha mengine baada ya kifo.