Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Sasa wewe hujui ulisemalo.

Wewe mwenyewe ni Kanisa.

Mtoto wako mmoja mmoja ni Kanisa,

Sasa kuwazuia kwenda Kanisani unamaanisha nini?
 
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Hakikisha unawafundisha kitabu cha power of subconcious mind mkuu 📌🔨
 
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE

Uwe nao sasa. Kama ni wa kuanzishia to thread its ok. Maana mtu mwenye watoto hahitaji kuujulisha umma amefanya nini kwa watoto wake.
 
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Mimi nilishatoka huko na watoto wangu wote hawajui hata kanisa ni nini.

Pia nilikataa kuwapa watoto wangu majina ya kikristu, nawapa watoto wangu majina ya kiafrika tu, kwa sehemu kubwa ndugu zangu na mashujaa wa kiafrika.

Siwezi kuwapa watoto wangu majina kama Petro, mara Joseph. Sitaki huo ujinga kabisa.
 
Uzuri wa maswala haya ya imani bhana huwa hayatiliwi maanani sana na watu ambao wako stable kwenye maeneo yote na wanajifeel comfortable kwenye maisha waliyo nayo.

Watu wengi wanaomtafuta Mungu ni wale ambao wamepitia changamoto fulani fulani ambazo kwa hali ya kibinadamu wameshindwa kuzitatua kwahiyo wanabakiwa na tumaini moja tu ambalo ni tumaini la kiroho, hapa wasio na imani huwa wanaanzia kwa waganga then wakishindwa kupata ufumbuzi huko basi wanaishia mikononi mwa Mwamposa au Kuhani Musa ili wapate mafuta ya upako.

Inshort kila aliyeokoka ako na sababu ya msingi iliyomfanya afanye hivyo ila kama huna sababu na yakiwa hayajakukuta masaibu ya dunia huwezi kuelewa haya mambo ya imani.

Omba Mungu aendelee kukupa stability ili uendelee kuwa mkaidi hahahaa.
 
Mimi nilishatoka huko na watoto wangu wote hawajui hata kanisa ni nini.

Pia nilikataa kuwapa watoto wangu majina ya kikristu, nawapa watoto wangu majina ya kiafrika tu, kwa sehemu kubwa ndugu zangu na mashujaa wa kiafrika.

Siwezi kuwapa watoto wangu majina kama Petro, mara Joseph. Sitaki huo ujinga kabisa.
DALA, hii haina sukari.

Una watoto wangapi?
 
Safi sana.

Religion must go!

The age of believing is over, Our ancestors can be excused for believing in lies. We are in the age of knowing.

Don't feed your children the lies you were taught to believe, Unlock their brains to the truth so that they never repeat the lies of yesterday.

Unaweza kudanganya watu wengi kwa wakati mmoja, Lakini huwezi kudanganya watu wote kwa wakati wote.

On the throne of time,👇

Religion must go!

God notion must go!
 
Yohana 2:19-21.

Kanisa si jengo.

Kanisa/ HEKALU ni mwili wako,

Madhabahu ni moyo wako.

Ibada hufanyika ndani Yako, Si lazima uende nyumba za kukusanyika .
Basi sitaki kufungamana na kanisa lolote na wala dini yoyote mimi mwenyewe ninatosha kuwa kanisa na miongozo yangu na familia yangu
 
Basi sitaki kufungamana na kanisa wala dini yoyote mimi mwenyewe ninatosha kuwa kanisa na miongozo yangu na familia yangu
Sasa kama wewe mwenyewe maisha Yako hayana Ibada, na huna mahusiano na mawasiliano na Mungu,

Unawezaje kuwafundiaha wanao kumjua na kuhofu Mungu?
 
Nitazikwa ila sitaki maujinga yenu ya kuniombea coz hayasaidii wala nini na sioni tija yake kwa sababu hamjawahi fufua mtu wala kuhakiki kuwa maombi yamemfikisha marehem peponi.
Ni utahira kwa sisi Waafrika kutaka kwenda mbinguni kuliko hata hao walioanzisha hizo dini na kuprint hivyo vitabu mnavyoviita vitakatifu

Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Mkuu kuna roho chafu ndani yko…,watu wengi ufikiria Dini ni mambo ya kwenda mbinguni tu, hapana,
Dini ndo sehemu pekee Duniani iliyabakia kumfanya binadamu kuwa binadamu, bila Dini hata ishu za ajabu unazoona uko magharibi ikiwemo ushoga na kubadili jinsia isingepata upinzani mkubwa, ni Dini tu ndo imebaki kumfanya binadamu kuwa binadamu, kuzuia watoto wasiende kanisani kuna hatari ya kuharibu ubinadamu wao, maana unawaweka kwenye hatari ya kuamini kwa urahisi mambo ya ajabu maana wanakuwa imani yao haijajengwa kwnye msingi wowote.
 
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Bora...
👏👏👏👏👏
 
Nitazikwa ila sitaki maujinga yenu ya kuniombea coz hayasaidii wala nini na sioni tija yake kwa sababu hamjawahi fufua mtu wala kuhakiki kuwa maombi yamemfikisha marehem peponi.
Ni utahira kwa sisi Waafrika kutaka kwenda mbinguni kuliko hata hao walioanzisha hizo dini na kuprint hivyo vitabu mnavyoviita vitakatifu
Utazikwa kwenye makaburi gani? Inabidi uandae sehemu ya kuzikwa na nduguzo uwajulishe wasije wakahangaishwa
 
Back
Top Bottom