Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Waache watoto nao wajiamulie wenyewe baada ya ku-experience dini zilizopo, unawanyima kitu, at least. Na kama ukipenda kujua ukweli zaidi ni kwamba Mungu yupo na shetani hali kadhalika, yawezekana wasiwe exactly kama tunavyofikiria lakini wapo sana tu!

Maisha ya kiroho yapo ila watu wengi wameyaelewa vibaya na wanaya commercialize. Tafuta kujua zaidi ukweli huu.
 
Ukifa tukufukie kama mzoga au utazikwa na City?
Mtu akifa kitabu chake kitakuwa kimefungwa kwa hapa duniani …. Dini nyingi hasa hizi kongwe zimekuwa zikiwatisha watu kuhusu swala la maziko ngoja niwakumbushe jambo maziko mazuri cyo tiketi au maziko ya heshma cyo tiketi hata mkinila nyama siku nikifa it doesnt matter cha msingi ni mtu kutengeneza kesho yake leo yeye na mola wake
 
Acha kuitumia Newton's third law of Motion vibaya kwa hiyo wasipoenda kanisani ni lazima na mimi wanijibu kwa kwenda kokote?
Mimi watoto wangu najifunza kuchangamana nao tunacheza game la kutype tunatoka out nao kila week end huku nawasoma akili zao huku nikiwasogezea vitabu vinavyoendana na rika zao then tunadiscuss nini kajifunza.
Sio niwaruhusu wakasome eti MUNGU aliumba binadamu ili wakaujaze ulimwengu alafu akaumba Wagumba tena wadaf...
Kwa mantiki hiyo, ni kwamba unakwenda nao huko unakokwenda wewe na wanafanya kile unachopenda wafanye; si ndiyo? Sasa "siku isiyo na jina hautakuwepo" ili kuwadhibiti itakuwaje? Maisha yenyewe ndo haya haya. Sijasema uwaruhusu wakasome eti Mungu alimumba.......La hasha. Nnacho jaribu kuona ni huko mbele itakuwaje katika enzi hizi za maisha ya kidigitali. Watasoma, wataangalia kwenye mitandao na watakutana na wenzao kwa wakati wao na hapo hutoweza kuwadhibiti wazungumze/wajadiliane yapi na wajifunze nini na mbaya zaidi wataweza kujaribu lipi kwa wakati gani.
 
Waache waendelee kwenda tu

Dini sio kuhusu kwenda mbinguni tu, ni sehemu ya maisha.

Fikiria watoto wako wakiwa shule wanaambiwa wasali au waende kwenye vipindi vya dini, wataanzaje kujieleza kwamba sio waumini?

Wakiwa na marafiki zao, au ndugu?

Waache wakue kwanza. Kama ni wakubwa kwenye rika la chuo hivi ndo watachagua wenyewe, usiwalazimishe.

Huo ni ushauri kutoka kwa mpinga dini mwenzako....
Dini ni biashara , Acha porojo
 
Dini ni biashara , Acha porojo
Dini kimsingi sio biashara japokuwa zama hizi dini imevamiwa na imeingiwa na virus na kugeuzwa kuwa ni mojawapo ya Biashara au kitega uchumi kwa watu wachache wenye Uroho wa Utajiri wa haraka haraka na ndo mana kila siku iendayo, yanaibuka Makanisa, Madhehebu, Huduma(Ministries), Watu binafsi (manabii, mitume n.k.)na wote ukifatilia utagundua ni Pesa mbele.
 
Dini kimsingi sio biashara japokuwa zama hizi dini imevamiwa na imeingiwa na virus na kugeuzwa kuwa ni mojawapo ya Biashara au kitega uchumi kwa watu wachache wenye Uroho wa Utajiri wa haraka haraka na ndo mana kila siku iendayo, yanaibuka Makanisa, Madhehebu, Huduma(Ministries), Watu binafsi (manabii, mitume n.k.)na wote ukifatilia utagundua ni Pesa mbele.
Iyerdoi, I appreciate
 
Imani inaponya hayo ni maneno yaliyosemwa na mchungaji ambaye kabla ya kuvuka barabara anaangalia kushoto na kulia.

Kabla ya kulala anashusha chandarua na kama haitoshi anachoma kabisa na dawa ya kuua.

At the same time getini kuna mlinzi na ndani amefanya installation ya CCTV Camera in case you want to sneaky around.

Halafu chumbani ana safe box ambayo humo kaweka Glock 19 ambayo tayari iko loaded.

Then akija madhabahuni anasema imani inaponya.

Kama imani inaponya basi kusingekuwa na fire extinguisher makanisani.

Last year tulikuwa na Pastor Makenzie aliyewapa imani hiyo waumini wake na mwisho wakafa kwa ujinga wao.

Tukienda mbali na hizi modern church nowdays zina miradi hadi ya kumiliki hospitali. Hospitali za nini wakati imani inaponya?

Na mbaya zaidi kwenye hizo hospitali hauwi treated for free, sasa hiyo imani inayoponya huwa inaponya nini?
Point kubwa sana hii...
 
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Wambie waende kwene madanguro sasa!!

Kitu ambacho hujui binadam tumeumbwa kuamini.
Wasipoamini Mungu wataamini uchawi
 

Attachments

  • 3b8f7596-2dea-4e5b-8160-21526da02bf9.jpg
    3b8f7596-2dea-4e5b-8160-21526da02bf9.jpg
    72.6 KB · Views: 1
Uzi poa wa kuamsha waliolala. Ila nakusihi uendelee na imani yako ya jadi, Mungu wa kweli anapatikana kwa kuwatumia mababu zako waliotangulia mbele ya haki.
Mate wangu Mkushi Kisendi Nyanda Ntalima Padagoya, atakuwa anajigeuza kwa furaha kaburini akiisoma post yako
 
Life manner kwani ni darasa unahisi kwenda kujazwa mataka taka kichwani kuwa Yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu as if tulimtuma afe si kiherehere chake kwani si tulimuomba?
Muda alioharibu kwenda kufia msalabani angeutumia kumuangamiza shetani tu. Alafu alishajua kabisa atafufuka, kwa hiyo hata kufa kwenyewe hakukuwa issue sana.
 
Uko sahihi hakuna baba mjinga na mpumbavu kama mleta mada kuzuia watoto kutumia their right of freedom of worship

Huo ni Unyanyasaji wa watoto na kuvunja haki za mtoto
Hiyo haki mtoto ataitumia akishakuwa mtu mzima. Mtoa mada yuko sahihi, watoto walelewe kwa misingi imara nyumbani, kanisani siku hizi ujinga ujinga mwingi
 
Huu mwaka wa 16 mlango wq kanisa siujui..lakin hofu ya Mungu ninayo..na mwanangu nilimbatiza vizuri tuu..siku wife akaalika watu wa jumuiya nikafukuza
 
Hongera Sana mtoa mada kwa kujua ukweli kuwa dini Ni hadithi za kale zilizotungwa na watu kama sisi.
Hakuna Mungu, mbiguni Wala moto wa milele.
Wafundishe elimu ya darasani, itawasaidia sana.
 
Back
Top Bottom