Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Poa, angalia mtoto anavyotekwa kiimani, anabatizwa akiwa mtoto, anafahamu nini? Muache awe mtu mzima aamue mwenyewe kama atakubali kudanganywa na hizi imani za kigeni.
Mtu kama Mchungaji Msigwa unaweza amini yule ni Mchungaji?

Hizi imani zipo watu wajipigie tu ndio maana kwenye mambo ya maana huwaoni hawa wahuni.
Kule Dar ndio wabapigwa hadi maskini wanakombwa vihela walivyo navyo.
 
Umevunja katiba ya nchi kifungu cha 19 kwa kuingilia uhuru wa mtu mwingine wa kuabudu

Unatakiwa uburuzwe mahakamani kwa kuingilia uhuru wa kuabudu wa watoto na kutumia nguvu kuwadhibiti
 
Kwa dunia ilipo hivi sasa, kwa mahitaji ya kidunia na Changamoto zakw ukirunganisha na aina ya Wasimi na viongozi wa dini waliopo hivi sasa, kamwe dini siyo mstari salama kuufuata.
Hata jua liwe kali vipi, kivuli chake si cha kusema ukae upumzike na hata kama ni chemichemi basi maji hayafai kuyanywa
 
Mkuu ulianza kukwepa jumuiya 🤣🤣 sasa unaanza kuwachomoa madogo !
Kikubwa watoto wawe na utu na maadili mema ndo muhimu
Mifano hai
1. Mzee wa Upako- anapiga mabapa
2. Mch Rwakatale anapiga makofi Zitto kuuawa bila kosa
3. Askofu Gwajima- kuungana na ccm
4. Mch Msigwa kuwa mwongo na msaliti.

Bado mnaniambia nikapoteze muda huko? Bora nikapumzike beach kwenye upepo nitapata afya.
 
Wazungu husema
- 'Everything happens for a reason"
-Kuna System zipo duniani kufanya maisha yawe under control for greater good! Mfano; Serikali/Dini etc
- Kwenye hii dunia kuwa tu mtulivu kila kitu fanya kwa kiasi na kupunguza ujuaji itakusaidia sana mkuu
ni hayo tu!
 
Ni heri kuchomwa na majivu kusambazwa shambani maana watu wanaingia gharama kubwa kujenga makaburi ambayo hawayatunzi.

Amandla...
 
Usiku wa kuamkia leo umeota nini? Tafakari....
 
naunga mkono hoja, me mfia dini kweli kweli dini za sku hizi zinatugeuza manyumbu.
kitaku cha mathayo kinasema dini iliyosafi ni kutazama yatika, wajane na masikini katika shida zao kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…