chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Vipi matokeo? Umepigwa au umepiga mkuu?Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Mimi sielewi inakuaje unampiga jamaa uliyemkuta na demu wako. Demu wako angekuwa na msimamo asingekuwa na huyo jamaa. Hapo shida ni demu si jamaa. Sasa utapigana na wangapi?Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Baada ya kupigana demu akampanani kikombe.Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Kwema wakuu,

Usijidanganye utakuja kufaDemu ni swa na seat ya daladala, ukiinuka anakaa mtu.
Huyu demu nimegharamia sana naweza kuua mtu juu yakeDoh, kumbe wa hivyo bado mpo? Sisi tushaachaga kugombania bwana