Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Mimi sielewi inakuaje unampiga jamaa uliyemkuta na demu wako. Demu wako angekuwa na msimamo asingekuwa na huyo jamaa. Hapo shida ni demu si jamaa. Sasa utapigana na wangapi?
 
Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Baada ya kupigana demu akampanani kikombe.
 
Umerahisisha safari ya huyo mwamba, Hapo demu wako anataka kujua huyo jamaa anaendeleaje, na kwa kuwa wanawake ni viumbe wa hisia, basi we subiri tu majibu baba umeyakanyaga mwenyewe. Na kama jamaa akiwa na noti na kitandani akampiga vizuri, we tafuta tu demu mwingine.
 
Siku nyingine usifanye hivo

Kama unahamu ya kupigana ukimkuta na demu wako mwache kabisa

Mtafute akiwa peke yake

Dunda utakavyo na usimwambie sababu ya kumdunda hafu sepa

Kwa Nini ugombee shimo

Kishimo chenyewe takataka ndiyo maana anakitembeza
 
We unampiga ngumi msela, yeye anaipiga nyama ya chini....
 
Back
Top Bottom