Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
Duhhh mhuuu!!!!!!!! Woy, laahhhhh!, eti wanawake ni malaika, uongo wa Karne huu, acha kupiga wenzako na kitu kizito basiMuoe kaka wanawake ni malaika,wanawake wanabadilika,akiingia kwenye ndoa atatulia tu huyo,wanaooa mabikira ni wajinga,huu ushauri kutoka kwa Natafuta Ajira
Duhhh, huyo hafai, hata akiolewa ataendelea kuliwa Nje, huyo ni malayaAliyoyafanya lipi wewe hujafanya ukitoa la kujirecord? Kama upo So fresh sooo clean achana nae😥
Kama ni kweli huyo habadiliki tena,. Maana alipaswa aheshimu mtu wake aliyemlipia mahari,. Sasa wewe umemheshimisha, wengine wanapewa bureeee!!! Inauma sana. Ila fanya uchunguzi wa kina Kabla hujamuacha usije kujuta baadae. Ukithibitisha temana nae,. Ndoa c ya kujaribu huyo atakuwa ni mama WA watoto wako.Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.
Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...
Naombeni ushauri wakuu
Wewe umeoa? Kama bado siku ukiwa unaoa na wewe watakuonea huruma hivyo hivyo.Mimi Kuna demu kavalishwa Pete Tarehe 10/8 huko Moshi hahaha nikimuangalia na Jamaa angeenda kumuoa mwezi wa 11 km sio wa 12 namuonea huruma maana demu ana circle sio poa maana washkaji zangu watatu washakula Mimi nishakula kimasihara ndgu yangu ashakula daah na nkikumbuka siku nikila alivyokua akipiga kelele😝😝Yan full kuugulia miguno kama yote alafu sa hv nasikia licha ya kuvalishwa Pete anamaduka mawili kafunguliwa na Moja kafunguliwa na ex wake mtoto wa kibopa mmoja hapo Jiji la Tanga na lingine la huyo husband to be wake hapo makao makuu ya Nchi😝😝😝 na wakati Mimi nlikua namkula kwa simu nlomuhonga kesho kutwa anaolewa mwamba mwenyewe humble mstaarabu sijui atakua huku JF😝😝😁nisije aribu Code nkawa mchawi wa mambo ya watu bure ila namuonea huruma tu sana jamaa angejua anachoenda kuingiza nyumbani kwake angekimbia avunjike miguu yote
Nakuunga mkono kwa hoja yako, lakini ndugu yangu kuna mambo mengi sana yasiyofurahisha ambayo hufanywa na wachumba wa pande zote mbili kwa siri kuchunga mchumba asiyajue, sasa hili limejulikana lakini kwa njia ya hila.Ndugu ,,,siku njema huonekana tangu asubuhi
Ebu fikiria amekua na mchumba seriously kabisa mpaka Pete hadi posa tayari kimebakia ndoa Bado unagawa uroda kwingine,,,,
Hapo aachane na mpango huo
Bibi harusi kaliwa siku moja kabla ya harusi alafu mnanishauri, kuoa,Binafsi nilishakulag bibi harusi siku moja kabla ya harusi, Nimekula demu leo kesho yake naona naona napost harusi yake. Kwamwendo huu vijana kataeni ndoa. Ahsanteni.
sasa ushauri gani mkuu wakati picha unalo unataka nini tenaNdugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.
Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...
Naombeni ushauri wakuu
It always ends unfairly for a nice guy.Mimi Kuna demu kavalishwa Pete Tarehe 10/8 huko Moshi hahaha nikimuangalia na Jamaa angeenda kumuoa mwezi wa 11 km sio wa 12 namuonea huruma maana demu ana circle sio poa maana washkaji zangu watatu washakula Mimi nishakula kimasihara ndgu yangu ashakula daah na nkikumbuka siku nikila alivyokua akipiga kelele😝😝Yan full kuugulia miguno kama yote alafu sa hv nasikia licha ya kuvalishwa Pete anamaduka mawili kafunguliwa na Moja kafunguliwa na ex wake mtoto wa kibopa mmoja hapo Jiji la Tanga na lingine la huyo husband to be wake hapo makao makuu ya Nchi😝😝😝 na wakati Mimi nlikua namkula kwa simu nlomuhonga kesho kutwa anaolewa mwamba mwenyewe humble mstaarabu sijui atakua huku JF😝😝😁nisije aribu Code nkawa mchawi wa mambo ya watu bure ila namuonea huruma tu sana jamaa angejua anachoenda kuingiza nyumbani kwake angekimbia avunjike miguu yote
Hio inaonesha dhahir kwamba hata akiolewa ataendelea kuliwa NjeNdugu ,,,siku njema huonekana tangu asubuhi
Ebu fikiria amekua na mchumba seriously kabisa mpaka Pete hadi posa tayari kimebakia ndoa Bado unagawa uroda kwingine,,,,
Hapo aachane na mpango huo
Shida kukubali hii kauli, uwe na yesu ndani yakoAcheni ukatili hakuna aliye msafi
Umeniwahi mkuu.Je kama video ni ya zaman kabla hujamchumbia
Tukiishi kwenye hii kauli basi wezi, wachawi, matapeli ,majambazi watekaji ,watoa mimba wanatakiwa wasibugudhiwe kwa sababu hakuna msafi ndani ya dunia hii.Acheni ukatili hakuna aliye msafi
Haijalishi ni ya sasa au zamani.Umeniwahi mkuu.
Huenda huyo jamaa aliyetoa taarifa ni frustrated ex wa mchumba wa mtoa mada na alirekodi iwe kete ya kumharibia huyo mwanamke.
Kama jamaa anakifua apotezee hiyo taarifa. Kuingia kwenye ndoa kunahitaji ujasiri na kutokata tamaa.
Eeh ndiyo!.Hiki unacho shauri...wewe binafsi ungeweza kukifanya endapo ingetokea kwako?