Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Aliyekutumia hiyo video lazima kuna jambo lunamuumiza labda kwa kumkosa huyo binti au whatever.. sidhani kama ana nia njema kwako..au unadhani anakupenda sana haki akupe taarifa?

Kwahiyo unamshauri mwenzio aoe kisa huyu mwanamme mwenzie anamuonea wivu?

Sisi wanaume hatuko hivyo, uwa tunawaonea huruma wanaume walio oa Malaya kwa bahati mbaya. Hata ukimla mke wa mtu, lazima feeling ya huruma kwa mme wake ije.
 
Siku zote mtu anaekuletea umbea kukuharibia mambo yako ni wa kuwa nae makini. Umethibitisha hiyo video ni ya karibuni?
Hata kama ni ya zamani. Unaanzaje kuoa Malaya? Assume huyo jamaa ni mwanao wa kiume kakushirikisha hiyo issue unamshaurije?
 
unampoteza mwenzako aisee
Chukua hilo tukio alafu piga picha kwa binti uliozini nao then unaambiwa yule uliyelala/unakwenda kum§§%€<nya guest room ni mchumba watu!.

Usiwe mwepesi kumpiga nguruwe mshale!.
 
Mkuu unachoongea kipo dhahiri na kinafahamika na kila mwanaume.

Sasa sijui unaelewa kwamba hata wasioonekana katika picha wakifanya ufuska, ni malaya waliochangamka?

Je kwa kutoonekana kwao ni kipimo cha kutosha cha kuwapima uadilifu wao?

Ni jamii nzima tuliyomo haina maadili, ni wanaume wachache sana wanaobahatisha kuoa mwanamke bikra.

Je waliotolewa bikra zao kabla ya ndoa wasiolewe kwa sababu ni malaya?

Je mtoto wako kama angelikuja kukupa taarifa kuwa kapata mchumba tayari wana mahusiano na anataka kumuoa ungelimshauri achunguze bikra yake kwanza?

Kumbuka unapotoa ushauri kwa watu waliopo katika mahusiano, hauwezi kuwashauri kufuata vigezo kwa sababu vihunzi hivyo tayari walishavivuka bila kukushirikisha.

Hivyo yakupasa kuwapatanisha na si kuwatenganisha.

Mambo ni mengi wakati ni mchache
 
Bikra zipo nyingi sana, sema ni uzembe wa vijana kutafuta wanawake wanaojielewa.

Binti yangu kama anafanya ujinga hata simuonei huruma kukosa mchumba.
 
Weka wazi ajue Nini umeona Kuna vitu havivumiliki aisee kama mtu ushachumbiwa makando kando Ya Nini
 
Ushauri kwa wale ambao mpo kwenye uchumba ni vema ukatujulisha mapema sifa ya mwenzio tukakushauri mapema kuliko kusubilia yamekufika shingoni huko ndo unakumbuka ninawana wangu JF wanishauri la hasha nasema hvo kwasababu ninauzoefu nimeoa na nina watoto 2 mziki wa ndoa sio wakitoto kama inavofikirika inaitaji akiri ya ziada.
 
😂😂😂 Maamuzi yapo wazi kabisa muache mapema atakubambika watoto huyo
 
😂😂😂 Maamuzi yapo wazi kabisa muache mapema atakubambika watoto
 
Ni kabila gani?
 
Bikra ndo tunao kwa ndoa tushawaambia hawa wengine ni sogeza tuishi tu mkuu.......

Tatizo vijana mchana sana notes za masomo ya nyuma....
Bikra haihusiani na kutulia.
Unaweza kuoa bikra ila akawa mdangaji angali yupo ndani ya ndoa.
Jamaa alikutana tu na mwanamke ambaye hajatulia.
 
Aliyoyafanya lipi wewe hujafanya ukitoa la kujirecord? Kama upo So fresh sooo clean achana nae😥
Shida sio kufanya shida amefanya wakati gani!?
Mwanamke kama umechumbiwa na ukatolewa mahari halafu ukachepuka basi ni malaya kiwango cha SGR.
 
Dah bonge la ushauli Mwana aolee mtaa
 
Nioe hatari ndugu?? Maana mahari nilisha toa na pete ya uchumba tayari bado ndoa tu ndio nimetumiwa ujumbe huu
ila kuna kujua mtu ana mwanaume/mwanamke mwingine

Ila picha ya mwenzi wako akiwa anazagamua nayo yaweza kuwa bonge la picha la kutisha aiseeh!
Hapana
Muache tu ili uwe na amani naye awe na usalama!
 
Narudi kwa issue ya mtu kukutumia picha za ngono za mchumba wako!
Ujue zitasambaa!
Mlinde huyo mwanamke.
 
Kataa ndoa wamefika hapa? Au wamewaachieni dunia iwafunze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…