Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Una moyo mkuu sana.
Unaweza kula cjakula chenye tone la kinyesi?
 
mwite aje DSM na wewe ichakate hata wiki baada ya hapo mwambie mimi na wewe mwisho huku ukimwonesha ushahidi wa video uliyotumiwa.
 
Chumba chenye kufuri 100 na mbususu nayo ai-lock na kufuri 100....

NAKAZIA...
 
Mleta mada ishi hapa.
 
Achana naye huyo kama ni kweli.
Kuna ishara mnapewa mapema sana, sema huwa tuna tabia ya kukaza fuvu...
Hata kama inahiyoweakness kwa kipindi hicho angejitahidi kutulia..
Unaoa malaya hapo ndugu..hatari sana sepa zako
 
Atatulia ukimuoa kwasasa bado anamachaguo mengi ikiwemo na wewe....
 
Swala gumu km hili maamuzi yanabakia kuwa yako , mimi kuoa mwanamke aliyepigwa-pigwa sipendi na nachukia ila basi .
 
Haitakiwi ushauri hapa. We ndio unamjua na unatakiwa kufanya maamuzi kama utaweza kuvumilia uzinzi wake haya kama huwezi hayaa. Kuna jamaa yuko Dar alitoka kwenye sendoff Jmosi halafu jmosi inayofuatia ndio harusi wako na mke mtarajiwa kwenye gari yake kumshusha akasahua kitochi kwenye gari ya mwamba sms alizokuta kwenye kitochi alitaka kuzimia. Alipiga chini fasta na Jmosi alienda ye na Ndugu zake wakala na kunywa maana walishalipia almost kila kitu na alikuja kuoa pisi nyingine baadae.
 
Hujaelewa mada wewe😂😂, unaambiwa mtu hajatulia. Elegant neno KUTULIA.
 
Kuna toxic, venom na poison vyote vina madhara ila kuna kingne hakiuwi na kuna vingne vinauwa cha msingi ni kua makini tu
 
Hivi kumbe Kuna watu Bado wanaoa ndo najua sasa hv....

Ukitaka kuoa lazima ujitoe ubongo sio akili Tena... Ukioa mwanamke sio bikra Ina maana Kuna washkaji walikua wanatomber mbaya mbovu...
 
Mshukuru sana huyo mwamba, kilichobaki hapo ni akili kumkichwa.
 
Jamaa aliyekutumia hiyo video ni mpumbavu anayetaka huyo demu hasiolewe ili amcheke. Kwa uzoefu huyo ni bwana wake wa muda mrefu lakini alikuwa anazingua kumuoa huyo demu,yaani alikuwa anampiga kalenda huku anampenda. Sasa demu kachoka kalenda zake umetokea wewe upo serious na ndoa akaamua kuolewa japo bado anampenda huyo jamaa yake, sasa jamaa katumia udhaifu wa kupendwa na demu kumharibia na ameshafanikiwa tayari.

Kama ujaweza kusamehe na kuoa basi muoe na nakihakikishia atakuwa wife material sana kwako. Kama unaona hiyo video itakutesa kwenye maisha yenu ya ndoa basi achana nae kwa usalama wa afya yako ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…