Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...
Duh,
Una bahati sana, umeepuka kupigwa na kitu kizito. Ukichukua hilo zigo batili umejitakia mwenyewe
 
Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.

Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...

Naombeni ushauri wakuu
Usiishwe na fitina za watu.. ilo ndio chaguo lako
 
Nioe hatari ndugu?? Maana mahari nilisha toa na pete ya uchumba tayari bado ndoa tu ndio nimetumiwa ujumbe huu
Achana na hiyo mahari waambie wazazi wake umewapa zawadi, achana na habari za Pete mwambie huyo ma la yer aitumie kama urembo
 
Badala ya kulalamika ungemshukuru Mungu kwa kukuonyesha haya mapema kabla hujaoa.
na ushahidi umepewa unataka nini zaidi? Mshukuru Mungu na waambie ukweli ndugu zako, piga chini hiyo takataka
Na hiyo video haitaondoka mawazoni , kila akikukwaza mawazo yatahamia kule kideoni jinsi anavyopigwa nao.
 
c321153953931a6514ee2a2d77e33e7a.jpg
 
Hatari sana.Kama aliyekutumia taarifa ana nia njema ni vema umuoe haraka huyo binti ili wasiendelee kumgegeda.🤔
Nioe hatari ndugu?? Maana mahari nilisha toa na pete ya uchumba tayari bado ndoa tu ndio nimetumiwa ujumbe huu
Siku zote mtu anaekuletea umbea kukuharibia mambo yako ni wa kuwa nae makini. Umethibitisha hiyo video ni ya karibuni?
Ndio
 
Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.

Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...

Naombeni ushauri wakuu
Mtafute Natafuta Ajira akupatie ushauri wa kiume au Natafuta Ajira mpatie kijana link ya ule uzi wako wa Ki hiphop
 
Mimi Kuna demu kavalishwa Pete Tarehe 10/8 huko Moshi hahaha nikimuangalia na Jamaa angeenda kumuoa mwezi wa 11 km sio wa 12 namuonea huruma maana demu ana circle sio poa maana washkaji zangu watatu washakula Mimi nishakula kimasihara ndgu yangu ashakula daah na nkikumbuka siku nikila alivyokua akipiga kelele😝😝Yan full kuugulia miguno kama yote alafu sa hv nasikia licha ya kuvalishwa Pete anamaduka mawili kafunguliwa na Moja kafunguliwa na ex wake mtoto wa kibopa mmoja hapo Jiji la Tanga na lingine la huyo husband to be wake hapo makao makuu ya Nchi😝😝😝 na wakati Mimi nlikua namkula kwa simu nlomuhonga kesho kutwa anaolewa mwamba mwenyewe humble mstaarabu sijui atakua huku JF😝😝😁nisije aribu Code nkawa mchawi wa mambo ya watu bure ila namuonea huruma tu sana jamaa angejua anachoenda kuingiza nyumbani kwake angekimbia avunjike miguu yote
 
Copy and
Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.

Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...

Naombeni ushauri wakuu
Paste hizi kutoka Facebook
 
Wewe umeshavua wangapi na wengine bila kujua ni wachumba wa watu?.

Muite muulize kama yupo serious, kisha akalishwe kitako kuambiwa ukweli wa maisha ya Ndoa then chukua mke.

Ukitaka wa kwako ambaye hajaguswa basi kamchukue hospitali akiwa katoka tumboni umlee hadi uzeeni akiwa ndani ya chumba chenye kufuri 100!!.
unampoteza mwenzako aisee
 
Tuanzie kwa mdogo ako au mtoto wako wa kiume ambae unajua kabisa ashatoka na wanawake kadhaa, ndio kakuletea taarifa kwamba mke anaetarajia kuoa hajatulia kakuonyesha na connection yake kabisa, utampa ushauri kama huu ulioutoa hapa?
 
Back
Top Bottom