Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

Kuna mkenya alinipga buku 10 alidai anauza fixed ilikua 2019 uko tena correct score Mwamba nikatuma Hela Kenya Kwa m pesa akatuma timu 2 za ufaransa ila nkasema ngoja nistake buku 5 nisiweke ela nyingi ilikuja kama Laki 2 hv mechi saa 4 usiku nikatulia kipind Cha kwanza mambo fresh ila kipind Cha 2 Mkeka ujachanka kesho namwambia nmechanka Akaniblock mjinga yule Alaaaniwe
 
Njoo pm mbiombio na laki 1 nikupe odds za uhakika, ni ushindi tu 💯
 
Hakuna hela easy duniani. Mtaendelea kupigwa hadi akili ziwakae sawa.
 
Nyie ndio mnafanya wakamalia waonekane hawana akili.
 
Wewe ni mjinga juha mkubwa🤣
 
Yaani hapa umeniacha chaka vibaya mno,mi sielewi mikeka ni nini!
Odds ndio sielewi hii nchi ngumu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…