- Thread starter
- #61
kama ni uhakika kwanini hautumii hela yako yote kuweka mzigo ili upige helaWatu wabishi ni wa kuachana nao, kuna page ipo Facebook hua inatoa mara moja moja fixed za halftime ni free
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni uhakika kwanini hautumii hela yako yote kuweka mzigo ili upige helaWatu wabishi ni wa kuachana nao, kuna page ipo Facebook hua inatoa mara moja moja fixed za halftime ni free
kama ni uhakika kwanini hautumii hela yako yote kuweka mzigo ili upige helaFixed huwa zinatoka mara chache chache sana.
Mbona unaongea kama vile tunafahamiana nje ya humu? Maana ume conclude kama vile unanijua nje ndani maisha yangu. Wewe umepigwa kwa ulimbukeni wako unaleta stress zako kwa kila mtu. Wanaonunua odds ni washamba washamba kama wewe. Watu siku hizi wanaishi na watu vizuri na wenye mioyo isiyokuwa na utapeli na tamaa hivyo jifunze kujichanganya na watu wa namna hiyo ili upewe bure odds badala ya kutapeliwa kwa ujinga, uzembe, na tamaa zako.kama ni uhakika kwanini hautumii hela yako yote kuweka mzigo ili upige hela