Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

kama ni uhakika kwanini hautumii hela yako yote kuweka mzigo ili upige hela
Mbona unaongea kama vile tunafahamiana nje ya humu? Maana ume conclude kama vile unanijua nje ndani maisha yangu. Wewe umepigwa kwa ulimbukeni wako unaleta stress zako kwa kila mtu. Wanaonunua odds ni washamba washamba kama wewe. Watu siku hizi wanaishi na watu vizuri na wenye mioyo isiyokuwa na utapeli na tamaa hivyo jifunze kujichanganya na watu wa namna hiyo ili upewe bure odds badala ya kutapeliwa kwa ujinga, uzembe, na tamaa zako.
 
Back
Top Bottom