Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

Tafuta hela, kupoteza milioni 8+ kwenye biashara ni jambo la kawaida kabisa
 
Usimuamini! Hawa watu hushirikiana!
 
Ni mwizi apelekwe polisi km hajasema ukweli..!! 😹
Nkamu hucheki na wowote.😂

Zamani nilikuwa sijui kudai pesa.
Nilijufunza kupitia tajiri jamani,Yule Baba anadai hela vibaya aisee,,yaani matajiri hawana undugu kabisa kwenye hela.
Sijui kwanini mpo hivyo matajiri😀
 
Kwa hali uliyo nayo sasa hivi ukisikia kauli kama hizi "MAMA MITANO TENA" OKTOBA TUNA TICK , Unajisikiaje kaka mkubwa
 
Sahivi wana vimbinu… anakuja leo unamuwekea hela, kesho anarudi anasema ile hela haikufika. Kama ndio uwa hufanyi balance kila siku unaingia mkenge
Mm nilikua naambiwa nijaze kila muamala kwenye lile daftari la wakala na mtu wa kutuma hela mbali nisitume..
Jioni nafunga hesabu.. kazi ilikua umakini aisee ndo mana niliacha mana
 
Nkamu hucheki na wowote.😂

Zamani nilikuwa sijui kudai pesa.
Nilijufunza kupitia tajiri jamani,Yule Baba anadai hela vibaya aisee,,yaani matajiri hawana undugu kabisa kwenye hela.
Sijui kwanini mpo hivyo matajiri😀
Yani pesa usipoiheshimu ikipotea ndio nitolee hiyo..!!
Btw mi sio tajiri Nkamu bado najitafuta 😹😹😹
 
Hata mwezi haujaisha aseeh kuna rafiki yangu nae kakutana na hili balaa, jamaa kaazima simu kabadilisha namba za jina X kwa kuweka zake kisha baada kama ya 2hrs akaanza kuchat kama vile ni yy X.. aseeh alipigwa 420k kama utani yan.. town aseh town aaah acha tu
 
Mkuu report polisi watafutwe Wayne laini si walisajiri Kwa NIDA
 
Hiyo situation ni ngumu sana kuchomoka aseeh! Jamaa sio lazma wakuombe kuchomoa line, rafiki yangu aliombwa tu simu apige.. yaan within seconds mtu kashabadili jina! Ngumu sana kuchomoka hapo japo i can't rule out uwezekano wa kucheza hiyo game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…