Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

Huyo binti atume hela kwenye namba ambayo jina anaona kabisa siyo la boss wake na wakati ofisi za Mpesa zimejaa majina ya boss ukutani, na atume hela kwa awamu tofauti tofauti zaidi ya siku moja hadi ifikie 8M bila kushtuka wala kuuliza .

Ukifatilia uzi za huyu jamaa utajua ni mtunga stori mzuri tu wala usiwe serious sana na nyuzi zake
Mkuu alitumiwe sms acumen pesa kwenye namba nyingine tofauti na namba ya boss, mfano matapeli wachukue simu ya mke wako na wasave namba yao kwa jina lako na hapo warfare namba yako kwenye simu ya mke wako na wamtumie sms mke wako atume pesa mfano laki 4 unashida, Sasa mke wako akiangalia kwa haraka anaona jina lako lakini namba siyo yako na yeye kw haraka anatuma tu si anajua wewe ndiyo umeomba utumiwe pesa kumbe siyo wewe ni matapeli.
 
Huyu binti atakuwa ametengeneza issue mwenyewe, why asikupigie tu hata alipofikia kutoa mil.2 ?

Umeshaingia hasara, no way out.
 
Mkuu alitumiwe sms acumen pesa kwenye namba nyingine tofauti na namba ya boss, mfano matapeli wachukue simu ya mke wako na wasave namba yao kwa jina lako na hapo warfare namba yako kwenye simu ya mke wako na wamtumie sms mke wako atume pesa mfano laki 4 unashida, Sasa mke wako akiangalia kwa haraka anaona jina lako lakini namba siyo yako na yeye kw haraka anatuma tu si anajua wewe ndiyo umeomba utumiwe pesa kumbe siyo wewe ni matapeli.
Kwaamba unafuta chat za mkeo kila siku kiasi kwamba usione hata last conversation yenu ?
 
Nishawahi fanya hio kazi zamani boss wangu alinipaga darasa wiki nzima ..pamoja na kutotoa simu kwa mteja/ na kila mtu akitoa ela niangalie salio kama ana haraka awahi tu.
 
Walijuaje jinsi alivyoku-save kwenye simu yake?

Kwanini hakukupigia kabla ya kutuma miamala ya pesa ndefu kama alivyofanya baada ya kuishiwa salio?

Anyways, kila mtu anaweza kutapeliwa.
 
Nishawahi fanya hio kazi zamani boss wangu alinipaga darasa wiki nzima ..pamoja na kutotoa simu kwa mteja/ na kila mtu akitoa ela niangalie salio kama ana haraka awahi tu.
Sahivi wana vimbinu… anakuja leo unamuwekea hela, kesho anarudi anasema ile hela haikufika. Kama ndio uwa hufanyi balance kila siku unaingia mkenge
 
Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float

Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.

Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu

Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
Wewe ndiyo mpumbavu ...ulitakiwa kumpatia mbinu na sababu za kuto kutoa simu siyo kumwambia juu juu kuwa usitpe simu ..pia ulitakiwa kumwashia salio la milioni simuni na laki 5 cash basi ...pia umfundishe mbinu zote kuhusu utapeli kwenye hiyo huduma
 
Watu watauza assets kwa ajili ya ugonjwa na mambo yao sio kwenda kuwanyang'anya wazee kiwanja huko inawezekana wewe ni mgeni na hela ndio maana unaweza kuongea chochote watu wengi wamepata matatizo na hizo hela..
Hawanyang’anywi bali wanalipia uzembe wa mtoto wao, kwani mtoto wao akiumwa hawauzi ili kumtibia?

Wangekua wanapata matatizo nishakwambia wangeanza na mafisadi au matajiri..!!

Kafanye kazi kwenye kampuni ya mtu halafu iibie uone nini kitatokea… sisi tunaongelea uhalisia wewe unaleta imagination hapa..!!
 
Watu ni wepesi wa kulaumu kwa sababu hajayawakuta wao. Ila hii bishara ni ngumu mno maana we unafanya kazi na hao unaowaona wateja kumbe wanakufanyia kazi kutafuta gap la udhaifu ili wakupige.
 
hiyo hela ni deal kwa police, wape mchongo watawapata hao watu. upo mkoa gani?
 
Ili kuepuka hasara za kijinga kama hizi, unapotaka kumueka mtu kwenye ofisi yako ya uwakala, huyo mfanyakazi anatakiwa awe na wadhamin 2 au 3 mnaenda hata serikali ya mtaa kuandikishana, hasara yoyote ya kizembe ikitokea basi watalipa au ikitokea mfanayakazi amekimbia na hela basi hao wadhamini wanalipa.

Kwa uzoefu wangu kwny uwakala naona hapo kuna mchazo mchafu. Haiwezekani wakala atume hela mpaka inafika mil 8 bila kukupigia simu ili kuthibitisha kama ni wewe kweli.
 
Hawanyang’anywi bali wanalipia uzembe wa mtoto wao, kwani mtoto wao akiumwa hawauzi ili kumtibia?

Wangekua wanapata matatizo nishakwambia wangeanza na mafisadi au matajiri..!!

Kafanye kazi kwenye kampuni ya mtu halafu iibie uone nini kitatokea… sisi tunaongelea uhalisia wewe unaleta imagination hapa..!!
Nipo na mothercity safaris na usafirishaji mizigo kutoka SA niombe kazi kwa nani tena mkuu siwezi kudhurumu masikini ili niongeze mali kwenye kampuni tunayowaachia watoto baadae wanashindwa kuendesha kampuni kumbe kulikua na hela za dhuruma ndani yake nimekwambia nina mifano ya watu kibao walikua na hiyo tabia mmoja jana nimemuona Kariakoo anaongea peke sisi huku ni Wakurungwa tunapotoa Elimu tuna mifano halisi.
 
Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float

Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.

Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu

Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
Haujaweka camera hapo ofisini kwako ili upate pakuanzia
 
Kwa nini Binti hakupiga simu kwanza kwako kuulizia tatizo ulilopata.
 
Back
Top Bottom