Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 5,668
- 9,806
AmiinAllah akuwepesishie kaka
AmiinAllah akuwepesishie kaka
Nakuheshimu sana mshangazi na ni vile hujuagi tuTuheshimiane mi sio mshangazi 😹
Ni mwizi kweliHuyo mwizi hata namba hakuiona jina anavyoitumia pesa?
Hii michezo ya wafanyakazi wakishirikiana na matapeli. Ni sawa na zile sms za tuma pesa kwenye namba hii na wewe utume tu bila kushtuka..!!
Hakunaga pesa ya laana, mafisadi na wauaji basi wangelaanika..!!Hela za laana unatafuta hakuna hela za hivyo ujinga mfanye wenyewe huko unataka mzazi auze kiwanja hiyo pesa inaweza kupotea hadi na mtu kabisa...
Huyu ni muongo.. watu wanajichosha tu kumpa pole.Huyo binti atume hela kwenye namba ambayo jina anaona kabisa siyo la boss wake na wakati ofisi za Mpesa zimejaa majina ya boss ukutani, na atume hela kwa awamu tofauti tofauti zaidi ya siku moja hadi ifikie 8M bila kushtuka wala kuuliza .
Ukifatilia uzi za huyu jamaa utajua ni mtunga stori mzuri tu wala usiwe serious sana na nyuzi zake
Nasikia ili uwe mzoefu lazima utapeliwe na ukishatapeliwa ndiyo akili inakua Active kila sekunde na huwezi kutapeli tena.Pole sana nakumbuka mwaka 2014 nimewahi kufanya kazi ya uwakala kiukweli nilipigwa shilingi laki moja na nusu mpaka waleo sidhani kama kuna tapeli anaweza kufanikiwa tena kunitapeli , kwanza sina imani na mtu yeyote tena .
Lazima kiwake, ila hawajakukata mikono wala kuharibu akili yako.Kichwa kinawaka moto
Hapa hoja sio ailioe hadi lini bali ni kumfundisha kwa kumuafhibu kidogo ili aone uchungu wa kupoteza pesa kwa uzembe,ila kwenye biashara loss ya hivi ipo tu,na muhimu ni kuweka bima ya upotevu wa pesaHiyo pesa atailipa hadi lini Ili iishe?
Kujua jina sio shida kabisa,shida ni kwamba ,kama number ya boss wake kaisevu KAKA,au shemeji,au vyovyote vile,wezi walijuaje??huo ndio msingi wa swali languMkuu wahalifu mpaka wamefanikiwa ujue walifanya uchunguzi na akapata taarifa zote za boss, ata wewe kama unafanya biashara watu kukujua jina lako siyo jambo ngumu matapeli wanaweza kukufatilia mpaka unspoishi na wakawajua watoto wako na mke wako au majirani sasa wakishafikia atua hii kukujua jina ni rahisi sana, au wanaweza kukufatilia kazini kwako na wakishapajua tu na jina lako watalijua, mkuu ogopa watu wakiamua kukufatilia bila wewe kufahamu.
Kweli ata mimi nimejiwekea utaratibu wangu ikitumwa sms kwenye namba geni inasema niitumie pesa ata kama imetaja jina la Mama, mke au mtoto sijibu sms na naifuta kabisa nakua sitaki kuiona.Kanuni ya kwanza katika pesa
Mpigie kwanza tajiri kujiridhisha kwamba ni kweli anataka pesa yeye mwenyewe
Yaani mtu anakutumia meseji tu,meseji pekeyake
Na unakubali kumtumia kwa namba ngeni,pasi na kujiridhisha kwa simu..huu ni uzembe na ujinga wa wakala.
Pesa siyo rahisi kihivyo aisee.
Pole sana Aisee. Hii i anikumbusha Bwana Mdogo mmoja pale Posta mpua Jijini Dar. Jamaa alikuja akawa anataka kuweka milioni 1.Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float
Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.
Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu
Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
Watu watauza assets kwa ajili ya ugonjwa na mambo yao sio kwenda kuwanyang'anya wazee kiwanja huko inawezekana wewe ni mgeni na hela ndio maana unaweza kuongea chochote watu wengi wamepata matatizo na hizo hela..Hakunaga pesa ya laana, mafisadi na wauaji basi wangelaanika..!!
Hao wazazi wanafidia uzembe wa mtoto wao.
Hakuna watu wanauza asset zao ili kuokoa jambo lolote?
Kwahiyo mimi ni jizi kama majizi ya kijani wewe mshangazi vipi weweWezi lazima mteteane
Depal vipi mremboHuyu ni muongo.. watu wanajichosha tu kumpa pole.
SawaHuyu ni muongo.. watu wanajichosha tu kumpa pole.
Hilo liko wazi nakuhakikishia hamna utapeli wakunigusa tena .Nasikia ili uwe mzoefu lazima utapeliwe na ukishatapeliwa ndiyo akili inakua Active kila sekunde na huwezi kutapeli tena.
Usihukumu kabla hujakutwa na jambo.Wewe mwenyewe mzembe haiwezekani umkambidhi million 8 kijana aisiye na akili timam