Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hiyo pesa atailipa hadi lini Ili iishe?Fanya ifuatavyo:
1.repoti polisi na kwenye hiyo mitandao ya simu ambayo fedha zilitolewa
2.Usimfukuze kazi huyo binti bali hiyo mil 8 iwe ni deni kwake,ambapo sasa ukubaliane nae jinsinya kumkata mshahara,muondoe kwenye kazi hizo za pesa na umpe kazi za usafi
3.weka mtu mwingine hapo kwenye nafasi ya huyo dada,ila weka sheria zako kwa maandishi na uzibandike ukutani.