I agree. Watu walivyo busy kumshauri. Huyu mtu ataanzisha topic yeyote ya kutungaNi kweli au kama ya JF siku hizi unataka tu ku-draw attention? Huu mchezo ni wa siku nyingi na karibu watu wote walioko kwenye hii business wameshawafundisha wafanyakazi wao wasikubali kufanya ujinga kama huu. Hukumpa maelekezo? Kama ulimpa basi yeye anashirikiana na hawa wezi na anajua akikumbia hivi utamfokea siku mbili tatu na kumfukuza ila atakuwa amefaidi. Lakini bado siamini kama ni kweli kwa sababu hata ulivyo na muda wa kujibu kila comment inaonyesha kabisa unatafuta attention. Halafu ID yako, imeanzisha thread kadhaa zenye mada za kutafuta attention kama hii.
Basi hujapoteza vizuri, siku ukipoteza pesa km huyu utanikumbuka..!!Nilishawahi kupoteza lakini siwezi kumsikiliza tajiri kisha nikatoa hukumu bila kumsikiliza mfanyakazi wake
Upotevu wa pesa tofauti hahusiani na mshahara, huo ni mtaji kapoteza.
Hatujui mzunguko wao mpaka wanalipana hiko kiasi cha mshahara..!!
Hapo wazazi wake wauze shamba walipe gharama, hiyo ni kazi na ni pesa mtu kawekeza..!!
Kwa hiyo pesa unaweza badili hata utu wako😁Mi mkinga aisee kwenye issue ya pesa sitaki hata mazoea wala kujuana na mtu..!!
Hapo jiandae kupewa majibu ya dhihaka na wana jukwaaAisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float
Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.
Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu
Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
Tafuta thread za huyu member uone aina ya mada zake. Hata mimi siamini kama ni kweli tukio limetokea. Hivi hujakutana na watu wenye kuzua uongo bila sababu ya msingi na wala hawapati faida yoyote? Mimi nimeshakutana na waliojifanya walikuwa kwenye ajali zilizoua watu wengi lakini wakapona. Na mind you... siyo matapeli wala hawaombi msaada wowote bali tu wanataka kupewa attention!Kwa kesi ya huyu hawezi kupoteza muda kuja kuongea uongo JF.
Hivi wewe ushawahi kupoteza pesa au unaona mwenzio analeta utani??
Relax mkuu huyo binti muhurumie tu wala usimfanye vibaya ametapeliwa kimakosaKichwa kinawaka moto
Ningekua rais hao mafisadi ningetaifisha mali zao zote za wizi..!! 😹Ingekuwa sheria ziko hivyo mafisadi wanafidia hasara wanazoleta. Nchi ingekuwa mbali sana
Kwahiyo unahitaji tukuandikie story nyingine ya kutunga Mkuu. Maana MTU kabla ya kukoment asome thread zako za nyuma kwanzaAisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float
Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.
Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu
Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
Oyaa bro kwenye pesa ya jasho langu sinaga utu.. mimi pesa naiheshimu sana..!!Kwa hiyo pesa unaweza badili hata utu wako😁
Atapata kitu na ni hasara tayari iyo BestUpotevu wa pesa tofauti hahusiani na mshahara, huo ni mtaji kapoteza.
Hatujui mzunguko wao mpaka wanalipana hiko kiasi cha mshahara..!!
Hapo wazazi wake wauze shamba walipe gharama, hiyo ni kazi na ni pesa mtu kawekeza..!!
Basi atakua mpumbavu km anataka attention..!!Tafuta thread za huyu member uone aina ya mada zake. Hata mimi siamini kama ni kweli tukio limetokea. Hivi hujakutana na watu wenye kuzua uongo bila sababu ya msingi na wala hawapati faida yoyote? Mimi nimeshakutana na waliojifanya walikuwa kwenye ajali zilizoua watu wengi lakini wakapona. Na mind you... siyo matapeli wala hawaombi msaada wowote bali tu wanataka kupewa attention!
Huyu wakala ni mjinga sanaKwenye pesa hapana tucheke na mengine..!!
Hapo apelekwe polisi wazazi wake km wana pesa wamtolee kufidia hasara..!!
Mtu kakatazwa usitoe simu yeye katoa, hapo nitaamini vipi km hawako wote wameshirikiana?
Hata akisema amkate mshahara hatofanya kazi kwa ufanisi, atafanya bora liende mwisho ataiba tena kwa kujua atakatwa kwa kufanyishwa kazi..!!
Wala sio hasara yeye ampeleke polisi hao wazazi wake watalipa tu mtoto wao atoke..!!Atapata kitu na ni hasara tayari iyo Best
Huyu mcheza kamari mwenzetu hata buku kumi Hana. Mara aje rafiki yake kashinda milioni 58, mara kawekeza M wekeza voda, kesho yake Uzi mwingine anasema haifai kuwekeza M wekeza...... Ili mradi hayupo consistentTafuta thread za huyu member uone aina ya mada zake. Hata mimi siamini kama ni kweli tukio limetokea. Hivi hujakutana na watu wenye kuzua uongo bila sababu ya msingi na wala hawapati faida yoyote? Mimi nimeshakutana na waliojifanya walikuwa kwenye ajali zilizoua watu wengi lakini wakapona. Na mind you... siyo matapeli wala hawaombi msaada wowote bali tu wanataka kupewa attention!