Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Bora waninyonge kama sina helaWala sio hasara yeye ampeleke polisi hao wazazi wake watalipa tu mtoto wao atoke..!!
Wewe ukitia hasara kampuni wanakuacha?
Bora waninyonge kama sina helaWala sio hasara yeye ampeleke polisi hao wazazi wake watalipa tu mtoto wao atoke..!!
Wewe ukitia hasara kampuni wanakuacha?
Umeongea vizuri Nkamu.Huyu wakala ni mjinga sana
Yawezekana ni yeye kaiba.
Mimi tajiri wangu alikuwa akitaka hela nampelekea mwenyewe nyumbani,ntamkuta mke wake...au ofisi yake nyingine nampelekea huko namkabidhi.
Ikitokea anataka nitumie kwa simu basi najiridhisha kwanza kwa kumpigia
Na namba yake ya miamala ilikuwa inajulikana,na tulitumia wakala mmoja tu.
Sijawahi poteza ata shilingi..
Mtu anatapeliwaje kizembe hivi?
Unatumaje hela bila tahadhari yoyote?
Tena hela ndefu hivyo!
.........
Yale Yale tumeweka mtu dukani
Kala dili na mtu kaja mtu akampa vitu kama vyote..mwenzie anamzuia kuwa usimpe..anasema nampa namjua ni mteja wetu.
Kesho anasema ooh alinichanganya akili siyo mteja wetu.
Upuuzi mtupu..na kazi ameacha.
Unanyongwa vizuri tu.Bora waninyonge kama sina hela
Achana na matapeli na twende uzi wa Liverpool Saint AnneHuyu wakala ni mjinga sana
Yawezekana ni yeye kaiba.
Mimi tajiri wangu alikuwa akitaka hela nampelekea mwenyewe nyumbani,ntamkuta mke wake...au ofisi yake nyingine nampelekea huko namkabidhi.
Ikitokea anataka nitumie kwa simu basi najiridhisha kwanza kwa kumpigia
Na namba yake ya miamala ilikuwa inajulikana,na tulitumia wakala mmoja tu.
Sijawahi poteza ata shilingi..
Mtu anatapeliwaje kizembe hivi?
Unatumaje hela bila tahadhari yoyote?
Tena hela ndefu hivyo!
.........
Yale Yale tumeweka mtu dukani
Kala dili na mtu kaja mtu akampa vitu kama vyote..mwenzie anamzuia kuwa usimpe..anasema nampa namjua ni mteja wetu.
Kesho anasema ooh alinichanganya akili siyo mteja wetu.
Upuuzi mtupu..na kazi ameacha.
Fanya ifuatavyo:Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float
Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.
Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu
Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
Hapa siyo rafiki na hawaninyongi na deni silipiUnanyongwa vizuri tu.
Nidhamu na kazi lazima iwepo, km ulikua hutaki kazi ungetulia kwenu..!!
Mi mkinga aisee kwenye issue ya pesa sitaki hata mazoea wala kujuana na mtu..!!
Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float
Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.
Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu
Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto 3
Kitu kizito hichoAisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float
Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.
Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu
Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
SawaNi kweli au kama ya JF siku hizi unataka tu ku-draw attention? Huu mchezo ni wa siku nyingi na karibu watu wote walioko kwenye hii business wameshawafundisha wafanyakazi wao wasikubali kufanya ujinga kama huu. Hukumpa maelekezo? Kama ulimpa basi yeye anashirikiana na hawa wezi na anajua akikumbia hivi utamfokea siku mbili tatu na kumfukuza ila atakuwa amefaidi. Lakini bado siamini kama ni kweli kwa sababu hata ulivyo na muda wa kujibu kila comment inaonyesha kabisa unatafuta attention. Halafu ID yako, imeanzisha thread kadhaa zenye mada za kutafuta attention kama hii.
Inaonekana hujawahi kusingiziwa jambo hadi ukahisi kutetemeka kwa hasira 😊Basi hujapoteza vizuri, siku ukipoteza pesa km huyu utanikumbuka..!!
Kwanza convo za tajiri si zinakuwepo pale kwenye meseji.Umeongea vizuri Nkamu.
Kwenye issue ya pesa lazima uwe makini, huyo wakala mwizi..!!
Kabla ya kufanya muamala lazima ujiridhishe kwa kupiga simu. Na kingine unawapa vipi simu yako au ya ofisi wateja?
Hata namba za simu kuna pen na karatasi unapewa uandike km huwezi kuzitaja. Yote hiyo kuepuka ujanja ujanja wa wezi..!!
Ukute anatumia kiswaswaduKwanza convo za tajiri si zinakuwepo pale kwenye meseji.
Ukifungua utaona convo za nyuma.
Iweje achat na majina yaliyoseviwa kwa majina ya tajiri
Na haoni convo za nyuma
Wampe namba hadi anatuma miamala yote kweli!
Yaani haiwezekani.
Huyu amekula njama na wezi.
AiseeUkute anatumia kiswaswadu
Ninachoweza sema Pole sana Mkuu,Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float
Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.
Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu
Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
Mafala hao uwachezee ila watu wako serious na maisha hata kukunyonga hawakunyongi wanakutandika chuma ukafie mbali..!!Hapa siyo rafiki na hawaninyongi na deni silipi
Wacha tuwatie moyo waliopoteza helaAchana na matapeli na twende uzi wa Liverpool Saint Anne
Hizo sheria zako kaungane na mawakili wa Lissu mtusaidie kumtoa..!!Huyo Binti hajatenda kosa la jinai kwa hiyo polisi siyo sehemu sahihi.
Aliyetenda jinai ni huyo aliyetumiwa pesa. Katenda kosa la udanganyifu, personification.
Binti ni agent wa boss/principal. Na boss ndiye katendewa kosa, kama alivyosema kwenye uzi hapa kwamba 'kapigwa'.
Kwa hiyo Binti hapo ni shahidi namba moja na siyo mtuhumiwa namba moja.
Mnakosaga haki kwa kukurupuka.
Kusingiziwa na kuiba vitu viwili tofauti, huyo binti yeye hajasingiziwa coz miamala kafanya mwenyewe na akili zake timamu bila kushikiwa bunduki..!!Inaonekana hujawahi kusingiziwa jambo hadi ukahisi kutetemeka kwa hasira 😊