Unapo toa masaada maana yake unahesabika umetoa sadaka ,na mungu haja wahi kuifanya sadaka kuwa kitu cha razima mpaka eti usipo toa unapata dhambi.Ni dhambi ndio kama una uwezo halaf majiran zako wanashinda njaa hutoi msaada ndio maana waarabu hutoa chakula
Lakini hiyo ni hiyari yake na sio kurazimisha kama mnavyo taka maana msaada sio razima.Kikwete sio mtu kama wewe au mim alikuwa raisi akiamua anaweza na hapungukiwi na chochote kabisa Poa ingekuwa kuwajali watu wake na ingekuwa kumbukumbu nzurii
Ungeniambia kitu kama kupeleka maji ,umeme,barabara hapo ninge kuelewa lakini kuhusu kujengewa mpaka nyumba hapo haiingii akilini kabisa .Yaan unakuwa raisi halaf mji ulipotoka wewe ndio umejenga nyumba nzuri tu
Ilitakiwa pawe pazuri maji ya uhakika,barabara,umeme, kusaidia watu wako ni jambo zuri
Lazima upendelee ulipotoka baba na kuwe na unafuu wa maisha na watu wajivunie wewe
Bila shaka mtoa hiyo comment uliyoiquote anaongelea kutoa Zaka,kutoa Zaka ni lazima kwa mwenye uwezo.Unapo toa masaada maana yake unahesabika umetoa sadaka ,na mungu haja wahi kuifanya sadaka kuwa kitu cha razima mpaka eti usipo toa unapata dhambi.
Ukiwa na pesa usipo toa sadaka utakacho kosa ni swawabu tu na sio kupata dhambi.
Walitakiwa wawezeshwe kiuchumi na mielimu, lakini wakijiji watakuwa hawana Elimu ya kiuchumi Mstaafu aliwapa mikopo mingi sana ili kuwainua kiuchumi.Kashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
Huo ujinga sasa, hupaswi mjengea mtu mzima nyumbaKashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
UsinikumbusheTulionunua viwanja Chato TUpeane maarifa tufanye nini?
Wao hawana utashi?Kashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
Huyo.mzee ni mshirikina kama siyo mchawi yeye apendi kuona watu wanapata maendeleo anacho penda yeye ni kutukuzwa na kusujudiwaNyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi.
Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
Wabongo huwa mna akili za kipumbavu sana. Awajengee afu iweje? Will that solve their problems? Acheni kupenda bure bure pumbafuKashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
Na kiuhalisia hajasema.Ameandika.Kusema mara nyingi/zote huendana na utoaji wa sauti.Mwenzako kasema Msoga. Sasa wewe huko Msogo ndio wamejaa hao maofisa usalama
HATA MIE NIMEBAINI ILA NILIANGALIA JUU JUU SANA MAANA NILIKUWA KWENYE BASI, ILA MBUNGE YUMO HUMU NA WASHAURI WAKE WANAWEZA KUWEKA UTARATIBU WA KUWAWEZESHA KUBORESHA NYUMBA WAZAWA WA MSOGA!!!!!!Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi.
Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
Bora uhaiNyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi.
Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
ACHA KUFOKA FOKA WEWE MBONA YEYE AMEJENGEWA BURE KABISA NA MIJUMBA KIBAO HATA HIVYO SIYO WAJENGEWE BURE KUNA KUWA NA UTARATIBU WA KUCHAGIA WA MASHARTI NAFUU KABISA , TENA BASI TUNASEMA UKARABATI TU !!!!! WHY NOT BHANNA!???Wabongo huwa mna akili za kipumbavu sana. Awajengee afu iweje? Will that solve their problems? Acheni kupenda bure bure pumbafu
Sasa kutoa zaka zinatolewa kwa kujengea watu mwenye nguvu za kufanya kazi nyumba?Bila shaka mtoa hiyo comment uliyoiquote anaongelea kutoa Zaka,kutoa Zaka ni lazima kwa mwenye uwezo.
Mkuu siyo atauchukua ataubebaKila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Kwani hao mnao razimisha awajengee wao hawana mikono na nguvu za kutafuta pesa kwa ajili ya kujengea familia zao nyumba mpaka kikwete ahache kushughirika na maisha yake ahanze kuhangaika na maisha ya watu wazima wenye familia zao?ACHA KUFOKA FOKA WEWE MBONA YEYE AMEJENGEWA BURE KABISA NA MIJUMBA KIBAO HATA HIVYO SIYO WAJENGEWE BURE KUNA KUWA NA UTARATIBU WA KUCHAGIA WA MASHARTI NAFUU KABISA , TENA BASI TUNASEMA UKARABATI TU !!!!! WHY NOT BHANNA!???